Home Tags Simba SC

Tag: Simba SC

Kibarua kigumu Simba waangukia Ahly tena,Yanga wapangwa na Mamelodi robo fainali...

0
Miamba wa Tanzania klabu ya Simba wameratibiwa kumenyana tena na Al A hly ya Misri katika kwota fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku...

Mnyama Simba atinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara...

0
Klabu ya Simba ya Tanzania ilijikatia tiketi kwa kwota fainali ya kombe la Ligi ya Mabingwa kwa mara ya nne baada ya kuikwatua Jwaneng...

Mashabiki wa timu ya Simba waombwa kusalia watulivu

0
Rais wa klabu ya soka ya Simba nchini Tanzania Mohammed Dewji maarufu kama "Mo Dewji" amewasihi mashabiki wa timu hiyo kusalia watulivu na kuwa...

Yanga yailemaza Simba kwa kuibinikiza 5-1 Kariakoo derby

0
Yanga wameigaragaza Simba mabao matano kwa moja katika derby ya Kariakoo, kuwania alama 3 za Ligi Kuu Tanzania bara iliyosakatwa Jumapili jioni katika uchanjaa...

Simba wadinda kulala chali nyumbani Dar dhidi ya Mwarabu

0
Miamba wa soka nchini Tanzania Simba Sports Club wamelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Al Ahly ya Misri, katika duru ya kwanza ya robo...

KBC kurusha mubashara mechi za ligi ya Afrika

0
Runinga ya taifa KBC Channel 1 itapeperusha mubashara mechi zote 14 za ligi ya mabingwa barani Afrika maarufu kama African Football League. Pambano la ufunguzi...

Simba SC kufungua Ligi ya Afrika AFL kuanza Ijumaa Dar

0
Makala ya kwanza ya kipute cha kuwania ligi ya Afrika baina ya  vilabu maarufu kama Africa Football League  (AFL), yatang'oa nanga Ijumaa, kwa robo...

Simba na Yanga watinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

0
Klabu za Tanzania ,Simba na Yanga zimetinga hatua ya makundi ya kuwania kombe la Ligi ya Mabingwa barani Afrika msimu wa mwaka 2023/2024. Simba maaraufu...

CAF yatangaza zawadi ya hela katika kipute cha ligi ya Afrika(AFL)

0
Shirikisho la soka barani Afrika limetangaza zawadi ya donge nono kwa timu zitakazoshiriki makala ya kwanza ya kipute cha ligi ya soka Afrika (AFL),...

Makala ya kwanza ya kipute cha ligi mpya ya Afrika, AFL...

0
Ligi mpya ya Afrika baina ya vilabu maarufu kama African Football League, AFL itang'oa nanga Oktoba 20 jijini Dare Salaam, Tanzania kulingana na shirikisho...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS