Home Tags SHIF

Tag: SHIF

Muthoni: Serikali inajitahidi kutekeleza mpango wa SHIF

0
Katibu wa afya ya umma katika wizara ya Afya Mary Muthoni amesema kwamba serikali inajitahidi kutekeleza mpango wa afya ya jamii almaarufu SHIF. Muthoni ambaye...

Serikali kugharimia huduma kwa wanaojifungua na watoto

0
Serikali itaanza kulipia gharama za kujifungua katika hospitali za umma mwezi ujao. Kupitia mpango mpya wa bima ya afya ya umma (SHIF), serikali italipa...

Nakhumicha: Huduma zinaendelea kutolewa hospitali za rufaa

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amethibitisha kwamba huduma zinatolewa kama kawaida katika hospitali za rufaa nchini. Aliyasema hayo wakati wa ziara yake katika taasisi mbalimbali...

Wakenya kusajiliwa upya kwa bima ya SHIF asema Ruto

0
Wakenya waliosajiliwa katika bima ya hospitali ya NHIF watalazimika kujisajili upya kwa bima mpya ya SHIF. Akizungumza siku ya Jumamosi katika kaunti ya Bomet Rais...

Rais Ruto awataka Wakenya kujisajili kwa hazina ya SHIF

Rais William Ruto amewataka Wakenya kujisajili kwa hazina ya Bima ya Afya ya Kijamii, (SHIF). Rais alisema serikali ina nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa...

Bima ya afya ya jamii, SHIF kutekelezwa mwezi Julai

0
Serikali imesema hazina ya bima ya afya ya jamii, SHIF itaanza kutekelezwa mwezi Julai mwaka huu. Kulingana na serikali, usajili wa Wakenya katika bima hiyo...

Wizara ya Afya yaelimisha wafanyakazi Kuhusu hazina ya kijamii ya matibabu...

Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesihi wafanyakazi wa afya na wanaotoa huduma kuhamasisha kwa bidii kuhusu faida za Hazina ya Kijamii ya Matibabu (SHIF). Akizungumza...

Matozo mapya ya SHIF kuanza mwezi Machi mwaka huu

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha, amefichua kuwa bima mpya ya afya SHIF  itaanza kutekelezwa mwezi Machi mwaka huu. Waziri Nakhumicha alifichua  hayo Alhamisi akiongeza kuwa...

Mahakama ya Rufaa yaridhia utekelezaji wa SHIF isipokuwa baadhi ya vipengee

0
Mahakama ya Rufaa imeiruhusu serikali kutekeleza Hazina ya Bima ya Afya ya Jamii, SHIF.  Hata hivyo, majaji Patrick Kiage, Pauline Nyamweya na Ngenye-Macharia wamesitisha utekelezaji...

Hatima ya SHIF kubainika Ijumaa mahakamani

0
Mahakama ya rufaa leo Ijumaa inatarajiwa kuamua kesi iliyowasilishwa na serikali kupinga kusitishwa kwa utekelezaji wa hazina ya bima ya afya ya jamii, SHIF. Hazina...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS