Home Tags Shakahola

Tag: Shakahola

Miili saba zaidi yafukuliwa Shakahola

0
Miili saba zaidi imefukuliwa leo Jumanne, katika eneo la Kwa Mugambi kwenye msitu wa Shakahola, kaunti ya Kilifi.  Kufukuliwa kwa miili hiyo kumeongeza idadi juma...

Kaunti ya kilifi yalalamika kuhusu miili ya Shakahola ambayo haijachukuliwa

0
Serikali ya Kaunti ya Kilifi, imetishia kuihamisha takriban mili 100 ya waathiriwa wa matukio ya Shakahola ambayo haijachukuliwa na jamaa zao katika hifadhi ya...

Mackenzie na wenzake wafikishwa mahakamani Mombasa

0
Mhubiri tata Paul Makenzi, mkewe Rhoda Maweu na washukiwa wengine 93 leo walifikishwa mahakamani huko Mombasa ambako wameshtakiwa kwa visa 238 vya kuua bila...

Mackenzie apatikana na hatia ya kusambaza filamu bila leseni

0
Mhubiri anayekumbwa na utata wa kanisa la Good News International Paul Mackenzie, amepatikana na hatia ya kumiliki na kusambaza filamu bila leseni kutoka bodi...

Mhubiri Ezekiel bado hajaponyoka!

0
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini DPP imefafanua kwamba Mhubiri Ezekiel Odero wa kanisa la New Life Prayer center bado hajaondolewa mashtkata. Kwenye...

Pastor Ezekiel Odero aondolewa lawama na mahakama

0
Mhubiri Ezekiel Odero ameondolewa lawama na mahakama ya Shanzu huko Mombasa baada ya upande wa mashtaka kukosa kumshtaki mhubiri huyo kwa makosa yoyote. Mahakama hiyo...

Mackenzie kubaini hatima yake Jumatatu

0
Mshukiwa mkuu katika vifo vya mamia ya watu eneo la Shakahola Paul Mackenzie na washirika wengine 29, wanatarajiwa kubaini hatima yao leo Jumatatu wakati...

Mhubiri Paul Mackenzie kusalia kizuizini kwa siku 47 zaidi

Mhubiri tata Paul Mackenzie ataendelea kuramba maisha ya kizuizini kwa siku zingine 47 baada ya mahakama moja ya Shanzu kuwaruhusu polisi kuendelea kumzuilia.  Hakimu Mkuu...

Jopo la kutathmini mashirika ya kidini lazuru Meru

0
Jopo lililobuniwa na Rais William Ruto kuhakiki sheria na sera za kudhibiti mashirika ya kidini nchini lilizuru kaunti ya Meru kwa nia ya kupokea...

Miili mingine 12 yafukuliwa Shakahola

0
Miili 12 zaidi imefukuliwa katika msitu wa Shakahola leo Jumatatu. Kufukuliwa kwa miili hiyo kunafikisha 403 jumla ya miili ambayo imefukuliwa katika msitu wa Shakahola...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS