Home Tags Shakahola Massacre

Tag: Shakahola Massacre

Miili ya waliofariki Shakahola kutolewa kwa familia wiki ijayo

Serikali kuanzia wiki ijayo itaanza kutoa miili ya waathiriwa wa mauaji ya Shakahola kwa familia zao kwa ajili ya mazishi. Haya ni kwa mujibu...

Mackenzie asusia kikao cha mahakama

0
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Shakahola Paul Nthenge Mackenzie amesusia kikao cha mahakama kuhusiana na kesi inayomkabili na wenzake 94. Kesi hiyo ya mauaji ambayo...

Mackenzie na wenzake 29 wakanusha mashtaka ya mauaji ya watoto

0
Mhubiri tata Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 29 wamekanusha mashtaka ya mauaji ya watoto 191 ambao miili yao ilifukuliwa kutoka kwenye msitu wa Shakahola. Washukiwa...

ODPP yasema ushahidi unatosha wa kushtaki washukiwa wa mauaji ya Shakahola

0
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini ODPP imetangaza kwamba kuna ushahidi wa kutosha wa kushtaki washukiwa 95 wa mauaji ya Shakahola. Kupitia taarifa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS