Home Tags Serikali

Tag: Serikali

Korti yasema KICC ni mali ya serikali

0
Jumba la Mikutano ya Kimataifa la Kenyatta, KICC ni mali ya serikali.  Hii ni kwa mujibu wa uamuzi uliotolewa leo Jumatatu na Jaji Jacqueline Mogeni...

Mgomo wa madaktari kuendelea baada ya kukwama kwa mazungumzo

0
Mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya tisa leo Ijumaa utaendelea hadi masuala yote walioibua yaangaziwe na serikali.  Hii ni baada ya mkutano ulioandaliwa jana...

Serikali kutoa elimu bora kwa watoto wote, asema Rachel Ruto

0
Mkewe Rais Rachel Ruto amesema serikali inakusudia kuhakikisha kila mtoto nchini anapata elimu bora.  Rachel alitoa hakikisho hilo alipoelezea mabadiliko yanayofanywa katika sekta ya elimu...

Idadi ya waliofariki kufuatia mafuriko yafikia 136

0
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua za El Nino zinazoshuhudiwa nchini kwa sasa imefikia 136.  Hii ni baada ya watu 16...

Hali itakuwa ngumu kabla ya kuwa bora, aonya Ruto

0
Rais William Ruto amesema atafanya maamuzi sahihi kwa niaba ya nchi hii.  Amesema serikali inaangazia manufaa ya muda mrefu ambayo hatimaye yatawafaidi Wakenya. “Hatupaswi kuangazia manufaa...

Viongozi serikalini na Wakenya mbioni kupanda miti

0
Viongozi mbalimbali serikalini leo Jumatatu walidamka wakiwa katika ari ya kushiriki zoezi la kitaifa la upanzi wa miti.  Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS