Home Tags Seneti

Tag: Seneti

Kamati ya Fedha ya Seneti yazuru Kakamega

0
Kamati ya Fedha ya bunge le Seneti jana Jumatatu ilizuru kaunti ya Kakamega kutathmini hali ya madeni inayodaiwa kaunti hiyo na ikiwa miradi mbalimbali...

Gavana Mwangaza afika Seneti, kujua mbivu na mbichi

0
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza amewasili katika majengo ya bunge tayari kwa kikao chha kusikiliza mashtaka ya kutimuliwa kwake. Anakabiliwa na mashtaka...

Masaibu ya Mwangaza: Gavana wa Meru ataka Seneti kuingilia kati

0
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza sasa analitaka bunge la Seneti kuingilia kati na kusuluhisha mzozo kati yake na Wawakilishi Wadi katika kaunti...

Afueni kwa Oduol baada ya Seneti kupinga kutimuliwa kwake

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol amekwepa shoka la kutimuliwa kwenye wadhifa wake. Hii ni baada ya Maseneta kupiga kura kupinga ripoti ya...

Hatima ya Naibu Gavana wa Siaya William Oduol kujulikana Juni 26

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol atajua iwapo atandelea kuhudumu katika wadhifa huo au la Jumatatu ijayo. Bunge la Seneti litaandaa kikao...

Naibu Gavana wa Siaya William Oduol akana tuhuma dhidi yake

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol amekana tuhuma zote zilizowasilishwa dhidi yake ikiwa ni pamoja na utumiaji mbaya wa wadhifa wake na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS