Home Tags Senegal

Tag: Senegal

Faye aapishwa kuwa Rais wa Senegal, Rais Ruto ampongeza kufuatia ushindi

0
Rais William Ruto amempongeza Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu ulioandaliwa nchini humo mwezi jana.  Rais Ruto...

Macky Sall atangaza kuachia uongozi wa Senegal Aprili 2

0
Rais wa Senegal Macky Sall ametangaza kuwa ataondoka uongozini tarehe 2 mwezi wa nne mwaka huu  baada ya kukamilisha muhula wa pili wa miaka...

Tembo amng’ata Simba na kumvua ubingwa wa AFCON

0
Wenyeji Ivory Coast walijizatiti kisabuni na kuwavua ubingwa Senegal baada ya kuwalemea kwa mabao 5-4 na kufuzu kwa robo fainali  kupitia matuta ya penalti...

Simba wa Teranga walazimu Simba wa Cameroon kula nyasi AFCON

0
Mabingwa watetezi Senegal ndiyo timu ya  pili kutinga raundi ya pili  ya kindumbwendumbwe cha AFCON, baada ya kuwakalifisha  Cameroon  mabao matatu kwa moja  katika...

Ni derby ya Simba AFCON, Senegal wakishikana mashati na Cameroon

0
Huenda pakachimbika Ijumaa usiku wakati miamba mabingwa watetezi wa AFCON, Senegal watakapokwangurana na Cameroon katika mchuano wa kundi C. Indomitable Lions waliotoka sare na Guinea...

Simba wa Teranga wakanyaga nge mara tatu kipute cha AFCON

0
Mabingwa watetezi Senegal wameanza vyema harakati za kuwania kombe la AFCON  nchini Ivory Coast, baada ya kuwakanyaga The Scorpion kutoka Gambia mabao matatu kwa...

Simba wa Teranga kufungua kampeni dhidi ya nge wa Gambia AFCON

0
Mabingwa watetezi Senegal maarufu kama Teranga Lions, watafungua hekaheka za kutetea kombe la AFCON dhidi ya limbukeni Gambia ukipenda the Scorpions Jumatatu jioni. Senegal watamenyana...

AFCON 2023: Senegal iko tayari kutetea taji lake Ivory Coast

0
Senegal imewaita wachezaji sita wa Ligi Kuu pamoja na Sadio Mane kwa ajili ya kutetea ubingwa wao wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...

Mataifa saba ya afrika kupokea mkopo wa dola bilioni 1...

0
Shirika la IMF limetangaza kuwa mataifa saba ya Afrika yatapokea mikopo ya jumla ya dola za Kimarekani bilioni moja . IMF imesema baada ya kutathmini...

Macky Sall amiminiwa sifa kwa kuridhia kustaafu

1
Baada ya kutangaza kuwa hatawania muhula mwingine wakati wa kinyang'anyiro cha urais mwaka wa 2024, Rais wa Senegal Macky Sall ameendelea kupokea sifa kedekede...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS