Tag: Senate
Vikao vya Seneti Mashinani Busia vyaahirishwa hadi Oktoba
Vikao vilivypangwa vya Seneti mashinani vilivyostahiki kuandaliwa kati ya Septemba 23 na 27 vimeahirishwa hadi Oktoba 28.
Karani wa Bunge la seneti Jeremiah Nyegenye amemwandikia...
Seneti yaanza kuskiza mashtaka dhidi ya Gavana Mwangaza
Bunge la Seneti mapema Jumatatu limeanza vikao vya kusikiza mashtaka dhidi ya Gavana wa Meru Kawira Mwangaza.
Gavana huyo ambaye ameng'atuliwa afisini kwa mara ya...
EACC yalalamikia mabadiliko kwenye mswada wa mkinzano wa maslahi
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imeonyesha kutoridhika na hatua ya bunge la Seneti ya kufanya mabadiliko kwenye mswada wa mkinzano wa...
Seneti na Bunge la Kitaifa yaafikiana kuhusu tandabelua ya IEBC
Bunge la Kitaifa na lile la Seneti yameafikiana kuhusu mabadiliko yanayopaswa kufanyiwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC.
Hatua hii ni afueni kwa tume...
Kafyu kuendelea kutekelezwa Turkana
Maagizo yaliyotolewa na serikali ya kutotoka nje usiku katika maeneo mbali mbali ya kaunti ya Turkana yataendelea kutekelezwa, haya ni kwa mujibu wa waziri...
Gavana Kawira aona Mwangaza tena baada ya Seneti kumnusuru
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza, aliponea chupuchupu kung'atuliwa afisini kwa mara ya pili, baada ya Maseneta jana Jumatano usiku kutupilia mbali mashtaka...
Maseneta kuamua hatima ya Gavana Mwangaza wiki ijayo
Bunge la Seneti litasikiza na kuamua hatima ya Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza wiki ijayo.
Bunge hilo litasikiza pande zote mbili katika kesi...
Matukio Ya Taifa: Bunge la Seneti kuongeza Muda wa Vikao vyake...
Bunge la seneti kuongeza muda wa vikao vyake siku ya jumanne na jumatano kujadili hoja ya kubanduliwa afisini kwa gavana wa meru kawira mwangaza.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/254df42f-bcac-4240-b4b9-033c0affaecc
Maseneta wapya wawabwaga vigogo bungeni
Maseneta wanaohudumu kwa muhula wa kwanza wamewabwaga vigogo katika mijadala na kuwasilisha hoja bungeni kulingana na utafiti wa kampuni ya Infotrak.
Utafiti huo unaonyesha...
Mahakama yaondoa marufuku ya Seneta Orwoba
Mahakama kuu ya Nairobi imebatilisha uamuzi wa bunge la seneti kumpiga marufuku seneta mteule Gloria Orwoba kwa miezi sita.
Kulingana na taarifa hiyo...