Home Tags Saudi Arabia

Tag: Saudi Arabia

Zaidi ya wauguzi 500 wa Kenya kuhudumu Saudi Arabia

0
Zaidi ya wauguzi  580 wakenya waliohitimu wametayarishwa kuondoka nchini kuhudumu nchini Saudi Arabia. Wiziri wa leba Florence Bore alisema watahiniwa ambao waliafikia mahitaji yote...

Ethiopia kuwarejesha nyumbani raia 70,000 kutoka Saudi Arabia

0
Ethiopia imehiari kuwarejesha nyumbani raia wake 70,000 ambao wamekuwa wakiishi kwa hali duni nchini Saudi Arabia. Shughuli hiyo itaanza rasmi mwezi Aprili. Yamkini raia...

Taasisi 2 za kuteua wauguzi watakaohudumu Saudi Arabia zatambuliwa

0
Wizara ya Leba na Ulinzi wa Jamii imetambua mashirika mawili ya kibinafsi yanayoshughulika na masuala ya ajira nchini ili kusaidia katika uteuzi wa wauguzi...

Maelfu ya Wakenya kunufaika na ajira za ughaibuni

0
Saudi Arabia imetangaza nafasi 2,500 za ajira kwa wauguzi na wahudumu wengine wa afya waliohitimu humu nchini. Kwenye taarifa, msemaji wa ikulu Hussein Mohamed,...

Wauguzi 1,000 wa Kenya kupata ajira Saudi Arabia

0
Waziri wa Leba na Ulinzi wa Kijamii Florence Bore jana Jumanne alidokeza kuwa Kenya imetia saini makubaliano na Saudi Arabia ya kuwapeleka wafanyakazi nchini...

Rais Ruto ahimiza kuimarishwa ushirikiano kati ya Saudia na Afrika

0
Rais William Ruto ametoa wito wa kuboreshwa ushirikiano baina ya Saudi Arabia na bara la Afrika, katika ustawishaji wa raslimali ya kawi safi. Rais...

Ruto awasili Riyadh kuhudhuria mkutano wa Saudia na Afrika

0
Rais William Ruto amewasili jijini Riyadh ambako atahudhuria mkutano wa viongozi wakuu wa Saudi Arabia na Afrika.  Mkutano huo ni kwanza kuwahi kuandaliwa. Mikutano sawia imeandaliwa...

Australia na Saudi Arabia watuma maombi kuandaa Kombe la Dunia 2034

0
Australia na Saudi Arabia wametuma maombi ya kutaka kuandaa fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2034. Hata hivyo, shirikisho la soka barani Asia limetangaza...

Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya amani Ukraine

0
Saudi Arabia inajiandaa kuwa mwenyeji wa mkutano wa mazungumzo ya kutafuta amani nchini Ukraine. Mkutano huo utatathmini mpango wa Rais Volodymyr Zelenskyy wa kurejesha...

Kenya itawalinda wawekezaji, asema Rais Ruto

0
Serikali inabuni mazingira bora yatakayovutia uwekezaji wa kigeni humu nchini Rais William Ruto amesema serikali yake pia itaboresha sera zake ili kuzifanya ziwezeshe utendakazi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS