Home Tags Rwanda

Tag: Rwanda

Sita waangamia kwa virusi vya Marburg nchini Rwanda

0
Watu sita wamethibitishwa kufariki kutokana na ugonjwa wa Marburg nchini Rwanda huku wengine 20, wakiripotiwa kuambukizwa kulingana na wizara ya afya nchini humo. Waziri wa...

Bull Dogg ajitolea kusaidia familia ya marehemu Jay Polly

0
Msanii wa mtindo wa Hip Hop nchini Rwanda Bull Dogg, ambaye jina lake halisi ni Malik Bertrand Ndayishimiye ameahidi kuendelea kutunza watoto wa marehemu...

Zaidi ya wanajeshi 200 wa Rwanda wafutwa kazi

0
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kuwafuta kazi zaidi ya wanajeshi 200, wakiwemo wanajeshi wa ngazi za juu. Kupitia taarifa kwenye ukurasa wa X leo...

Kagame arai ushirikiano wa Mawaziri wake

0
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewataka Mawaziri wake kushirikiana katika utendakazi wao.  Amesema hatua hiyo itaisadia serikali yake kuafikia malengo yake ya  miaka mitano. Kagame alisema...

Makanisa kuanza kutozwa ushuru wa sadaka nchini Rwanda

0
Makanisa yataanza kutozwa ushuru wa sadaka na matoleo meningin nchini Rwanda, kama njia ya kuwazuia wahubiri bandia wanaowapunja waumini. Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza...

Rais Ruto ampongeza Rais Paul Kagame wa Rwanda

0
Rais William Ruto amempongeza Rais wa Rwanda Paul Kagame, kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa Urais ulioandaliwa Jumatatu. “Kwa niaba ya raia na serikali ya...

Paul Kagame awasilisha stakabadhi zake kuwania Urais kwa mara ya nne

Rais Paul Kagame alikuwa wa kwanza kuwasilisha nyaraka zinazohitajika ili kumuwezesha kuwa mgombea wa nafasi ya sasa ya rais wa Rwanda. Akiwa na mkewe Jeannette...

Rais Ruto apigia debe mfumo wa ushirikishwaji katika taasisi za Kimataifa...

0
Rais William Ruto ametoa wito wa kufanyiwa mageuzi taasisi za kimataifa za ufadhili, akitetea mfumo wa ushirikishwaji zaidi. Rais Ruto alisisitiza haja ya kuwepo demokrasia...

Rais Ruto awasili nchini Rwanda kwa ziara rasmi

Rais William Ruto amewasili Kigali, nchini Rwanda kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa maafisa wakuu watendaji wa Bara Afrika. Rais Ruto anatarajiwa kuwa na...

Kenya yapongeza Rwanda kwa hatua ilizopiga baada ya Mauaji ya Kimbari

0
Kenya imepongeza hatua zilizopigwa na Rwanda, baada ya taifa hilo kughubikwa na mauaji ya kimbari, huku ikisema itaendeleakuunga mkono nchini hiyo kwa ustawi wa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS