Home Tags Ruto

Tag: Ruto

Ruto ahimiza watoaji mikopo kwa Afrika kujumuisha hela za kukabiliana...

0
Rais William Ruto amehmiza jamii ya kimataifa kutenga kiwango  cha pesa za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika mikopo wanayotoa. Ruto alisema haya Jumatano alipohutubia...

Rais Ruto aondoka nchini kwa ziara nchini Marekani

0
Rais Ruto ameondoka nchini Jumapili jioni kwa ziara rasmi ya kiserikali nchini Marekani anakotarajiwa kusaini mikataba kadhaa ya ushirikiano katika sekta mbali mbali. Ruto ataanza...

Ruto awateua majaji 20

0
Rais William Ruto amewateua majaji 20 walioidhinsihwa na tume ya huduma za mahakama(JSC). Majaji walioteuliwa ni Moses Ado Otieno, Alice Chepngetich Bett Soi, Benjamin Mwikya...

Kahariri aapishwa kuwa Mkuu mpya wa Majeshi

0
Rais William Ruto mapema Ijumaa katika Ikulu ya Nairobi ameongoza kuapishwa kwa Mkuu mpya wa Majeshi Jenerali Charles Muriu Kahariri. Wengine waliokula kiapo ni Jenerali...

Matukio ya Taifa: Rais Ruto aagiza wafanyakazi wa umma kuongezewa Mshahara

0
Katika hotuba yake wakati wa sherehe za 59 za Siku ya Kimataifa ya Wafanyakazi katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi, Rais Ruto alimwagiza Waziri...

Wanajeshi kuchunguza chanzo cha kifo cha Mkuu wa majeshi Jenerali Ogolla

0
Ndege ya Kijeshi na maafisa kadhaa imepelekwa katika eneo la ajali ya ndege ya siku ya Alhamisi eneo la Marakwakwet Mashariki, kubaini chanzo cha...

Rais Ruto: Tuko tayari kutuma polisi Haiti

0
Rais William Ruto ametetea hatua ya serikali ya Kenya kutuma polisi nchini Haiti kulinda usalama. Ruto amesema hatua hiyo ni mojawapo ya majukumu ya Kenya...

Zinga: Kwa nini mapendekezo ya Mtaala wa Umilisi, CBC yamezua tumbo...

0
Kulingana na Dkt. Hassan Mwakimako ambaye ni mmoja wa wanachama wa jopokazi lililoteuliwa na Rais kuangazia masuala ibuka katika marekebisho ya CBC, marekebisho katika...

Ruto amteua Ingonga Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma

0
Rais William Ruto amemteua Renson Ingonga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma kwa kipindi cha miaka minane. Ingonga anamrithi Noordin Haji aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi...

Ruto amwomboleza mwanahabari Cardovillis

0
Rais William Ruto ni miongoni mwa viongozi na wakenya waliojiunga kumwomboleza mwanahabari wa michezo Sean Cardovillis aliyefariki mapema Jumamosi. Ruto amemtaja marehemu kuwa shupavu na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS