Home Tags Russia

Tag: Russia

Waliofariki katika shambulizi Moscow wafikia 133

0
Urusi imetanga maombolezo ya kitaifa huku idadai ya waliofariki kwenye shambulizi la kigaidi jijini Moscow, Ijumaa usiku ikifikia 133. Wakati wa maombolezo hayo...

Mudavadi ashutumu mashambulizi yaliyotekelezwa Moscow

Waziri Mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, amejiunga na viongozi wa dunia katika kulaani mashambulizi ya mauaji yaliyotekelezwa na watu waliojihami kwa bunduki ambapo waliwaua...

60 wafariki kutokana na shambulizi Moscow

0
Maafisa wa usalama wameripoti kuwa takriban watu 60 wamefariki kutokana na shambulizi la kigaidi, lililotekelezwa katika jumba moja la kibiashara mapema Jumamosi. Shambulizi hilo limetekelezwa...

Putin: Tuko tayari kutumia silaha za nyuklia

0
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kwamba nchi yake iko tayari kabisa kutumia sialaha za Nyuklia iwapo uhuru wa nchi hiyo utatishiwa kwa vyovyote. Aliyasema...

Mwili wa Navalny wakabidhiwa mamake mzazi

0
Mwili wa mwanasiasa wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny umerejeshwa kwa mama yake mzazi. Haya ni kulingana na msemaji wa Navalny. Hatua hii inafuatia taarifa...

Wanaodharau jeshi kupokonywa mali yao nchini Urusi

0
Wabunge wa bunge la chini, nchini Urusi linalofahamika kama "State Duma" wamepitisha sheria inayodhamiriwa kudhibiti watu ambao wanadharau jeshi. Itakapotiwa saini na kuanza kutumika sheria...

Kenya na Urusi zaambulia sare ya 2-2 mechi ya kirafiki

0
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imetoka sare ya mabao 2-2, na Urusi katika mchuano wa kirafiki uliopigwa Jumatatu jioni katika uwanja...

Harambee Stars dhidi ya Urusi mechi ya kirafiki, kazi ipo!

0
Timu ya taifa ya kenya, Harambee Stars itapambana na Urusi katika mchuano kimataifa wa kujipiga msasa utakaosakatwa Jumatatu kuanzia saa moja usiku majira ya...

Rais Lula asema Rais Putin hatakamatwa akizuru Brazil

0
Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesema kwamba kiongozi wa nchi ya Urusi Vladimir Putin hatakamatwa nchini Brazil iwapo atahudhuria kongamano la...

Rais Macron asema bendera ya Urusi haifai kuwa kwenye michezo ya...

0
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesisitiza kwamba bendera ya Urusi haifai kupeperushwa kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2024 ambayo itaandaliwa katika nchi yake. Anasema...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS