Home Tags Rigathi Gachagua

Tag: Rigathi Gachagua

Naibu Rais afanya ziara rasmi Afrika Kusini

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua aliondoka hapa nchini Jumanne usiku, kuelekea Afrika Kusini kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais wa taifa hilo Cyril Ramaphosa. Ramaphosa ataapishwa...

Gachagua: Juhudi zangu za umoja si ukabila

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amewataka wanaokosa juhudi zake za kuleta umoja na usambazaji sawa wa rasilimali, kukoma kuhusisha juhudi hizo na ukabila. Gachagua alisema uamuzi...

Gachagua: Vita dhidi ya Pombe haramu na mihadarati vimefaulu

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amesema mikakati iliyowekwa kukabiliana na pombe haramu na mihadarati imezaa matunda, huku maelfu ya vijana wakiokolewa. Akizungumza Ijumaa afisini mwake mtaani...

Serikali imetimiza ahadi zake kwa wakulima, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto amesema kuwa serikali imetimiza ahadi zake kwa wakulima, kwa kutekeleza mabadiliko katika sekta ya kilimo hapa nchini. Kulingana na Rais, serikali imetengea...

Serikali yaimarisha ushirikiano na washirika wa kimaendeleo

0
Serikali pamoja na washirika wa kimaendeleo, wamebuni jopo kazi litakaloshughulikia kwa haraka matumizi ya fedha za ufadhili zilizotengewa mipango mbali mbali kote mchini. Pia...

Naibu Rais afariji familia zilizowapoteza wapendwa wao Maai Mahiu

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amewataka wakenya kutii maagizo ya kuhamishwa na kuhamia katika maeneo ya juu hasa wakati huu ambapo mvua kubwa inaendelea kunyesha...

Gachagua: Tutarejesha hadhi ya Jiji la Nairobi

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali ya kitaifa inaratibu mipango ya  kustawisha kaunti ya Nairobi, kwa lengo la kudumisha hadhi ya jiji kuu hili la...

Vijana ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya Afrika, asema Gachagua

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amesema uongozi wa vijana ni nguzo muhimu katika maendeleo ya bara Afrika, akidokeza kuwa vijana wanatekeleza wajibu muhimu kulinda siku...

Gachagua: Kenya itashirikiana na Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameyahakikishia mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayohudumu hapa nchini, kuwa serikali imeimarisha ushirikiano wake katika kuhakikisha utekelezwaji wa malengo ya...

Rais Kagame: Kenya ilitekeleza wajibu mkubwa kuisaidia Rwanda

0
Rais wa Rwanda Paul Kagame, ameipongeza Kenya kwa wajibu wake mkubwa katika kujengwa upya kwa taifa la Rwanda baada ya mauaji ya kimbari yaliyotekelezwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS