Tag: Rebecca Miano
Wizara ya Utalii yalenga kuwavutia watalii milioni 5 kufikia 2027
Waziri wa Utalii na wanyamapori Rebecca Miano, amesema wizara yake inalenga kuongeza idadi ya watalii wanaozuru hapa nchini hadi milioni tano, kufikia mwaka 2027,...
Miano: Nitaimarisha uwezo wa sekta ya Utalii nchini
Waziri mpya wa Utalii na Wanyamapori Rebecca Miano, ameahidi kuharakisha mikakati itakayofungua uwezo wa sekta ya Utalii hapa nchini.
Akizungumza leo Jumatano alipokabidhiwa rasmi wizara...
Rebecca Miano sasa ahamishiwa Wizara ya Utalii
Rebecca Miano sasa ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Utalii.
Wadhifa huo awali ulishikiliwa na Dkt. Alfred Mutua ambaye sasa ameteuliwa kuwa Waziri wa Leba.
Akitangaza orodha...
Murkomen, Mvurya, Mutua na Miano wateuliwa tena kuwa Mawaziri
Ni afueni kwa Mawaziri wanne waliohudumu katika Baraza la Mawaziri lililovunjwa na Rais William Ruto siku chache zilizopita.
Hii ni baada ya wao kuteuliwa tena...
Rebecca Miano anatarajiwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza mwanamke
Iwapo ataidhinishwa na bunge, basi Rebecca Miano ataandikisha historia kwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza mwanamke.
Siku ya Ijumaa akitaja nusu ya kwanza ya mawaziri...
Kenya kutumia kikamilifu mabasi ya umeme kufikia mwaka 2027
Waziri wa ustawi wa viwanda Rebecca Miano, amesema kuwa taifa hili linatarajiwa kutumia kikamilifu mabasi yanayotumia nguvu za umeme kufikia mwaka 2027.
Kulingana na Miano,...
Kenya yatia saini mkataba wa kibiashara na Muungano wa Ulaya
Serikali ya Kenya imetia saini mkataba wa kibiashara na Muungano wa Ulaya, miongoni mwa nchi wanachama wa kundi la G7 Jijini Osaka Japan.
Mkataba huo...