Home Tags Real Madrid

Tag: Real Madrid

Ndoto ya mchezaji nyota Mbappe kujiunga na Real Madrid yatimia

0
Mshambulizi matata wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema ndoto yake imetimia baada ya uamuzi wake wa kujiunga na miamba wa soka barani Ulaya Real Madrid...

Toni Kroos kustaafu baada ya Euro 2024

0
Mwana kiungo wa kati wa Ujerumani na klabu ya Real Madrid Toni Kroos, ametangaza kustaafu baada ya kipute cha Euro cha mwezi Juni/Julai nchini...

Ligi ya Mabingwa kuingia nusu fainali Jumanne

0
Kipute cha kuwania taji ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya kitarejea Jumanne usiku kwa nusu fainali ya kwanza, baina ya Bayern Munich na Real...

Mbappe Kugura PSG mwishoni mwa msimu

0
Mshambulizi matata wa Klabu ya PSG na timu taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe, ametangaza kugura uwanja wa Parc des Princes mwishoni mwa musimu....

Atletico waizima Real derby ya Madrid

0
Atletico Madrid wakicheza nyumbani walivunja rekodi ya Real Madrid ya kutopotezs mechi msimu huu,katika derby ya Jumapili usiku walipoilaza mabao 3 kwa moja mchuano...

Arsenal wadedea huku Man U wakidoda Ligi ya Mabingwa Ulaya

0
Arsenal walisherehekea kurejea katika kipute cha Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kwa mara ya kwanza, baada ya subira ya miaka 6 kwa ushindi mkubwa...

Real Madrid yamnyatia Mbappé

0
Klabu ya Real Madrid imezidisha juhudi za kumnyemelea mshambulizi wa Paris St Germain Kylian Mbappé. Madrid inawania kumsajili Mbappe kwa mara ya pili baada ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS