Home Tags Raymond Omollo

Tag: Raymond Omollo

Serikali kuwapa Machifu pikipiki zinazotumia umeme

0
Serikali inalenga kuondoa pikipiki 13,000 zinazotumia mafuta ya petroli ambazo hutumiwa na machifu na manaibu wao, huku zikibadilishwa na zile zinazotumia nguvu za umeme....

Sheria zinazodhibiti sekta ya mifugo kutekelezwa kikamilifu

0
Serikali imetangaza kutekelezwa kikamilifu kwa sheria na masharti yanayodhibiti sekta ya kilimo kote nchini. Zoezi hilo linalotekelezwa na wizara ya usalama, litahusisha wizara ya kilimo...

Serikali yazindua mfumo wa kidijitali kufuatilia miradi yake

0
Serikali imezindua mfumo wa kidijitali cha kutoa ripoti na kukadiria miradi ya serikali ya kitaifa kwa jina “Project BETA”. Mfumo huo mpya utafuatilia utekelezaji, maendeleo...

Omollo: Ni wajibu wa maafisa wa serikali kuhakikisha wakenya wana afya...

0
Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo, ametoa wito kwa maafisa wa serikali ya taifa na wahudumu wa afya kuhakikisha wanakabiliana...

Kambi ya walinzi wa baharini kuanzishwa katika kisiwa cha Mfangano

0
Serikali ina mipango ya kuanzisha kambi ya walinzi wa baharini katika kisiwa cha Mfangano kaunti ya Homa Bay, ili kukabiliana na maswala ya usalama...

Serikali kuimarisha usalama katika mipaka ya taifa hili

0
Serikali inajizatiti kuimarisha usalama katika mipaka ya taifa hili, kwa kutambua sehemu za kuingia na kuondoka katika sehemu mbali mbali za nchi. Katibu katika wizara...

Raymond Omollo aridhishwa na maandalizi ya sherehe za Mashujaa

0
Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo, amesema serikali imeridhishwa na ukarabati wa uwanja wa Kericho Green, utakaotumika kuandaa sherehe za...

Waziri Owalo na katibu Omollo wapanga mikakati ya ujio wa ...

0
Waziri wa Habari Teknoljia Mawasiliano na Uchumi wa kidijitali Eliud Owalo na Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt Raymond Omollo,wamefanya mashauriano katika...

Kenya na China zashirikiana kukabilana na changamoto za kiusalama

0
Kenya inalenga kuimarisha ushirikiano wake na China hasa katika ubadilishanaji wa habari za ujasusi, operesheni za pamoja za kiusalama na usimamizi wa maswala ya...

Rais Ruto: Upinzani hautavuruga ajenda ya Serikali kupitia maandamano

0
Serikali itawachukulia hatua kali wanaotumia vibaya Katiba na kusababisha machafuko hapa nchini. Rais William Ruto amesema mpango huo utasitishwa. huku akibainisha kuwa Serikali ina...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS