Home Tags Rais William Ruto

Tag: Rais William Ruto

Ruto ampongeza Modi kwa kushinda uchaguzi India

0
Rais William Ruto amempongeza Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwa kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo siku chache zilizopita. Aidha, Ruto amewapongeza...

Ruto apigia debe ushirikiano wa kimkakati kati ya Kenya na Korea...

0
Rais William Ruto leo Jumanne alihutubia Kongamano la kwanza la Korea Kusini na Afrika na kusisitiza wajibu muhimu ambao Korea Kusini inaweza ikatekeleza katika...

Rais Ruto awasili Korea Kusini

0
Rais William Ruto amewasili mjini Seoul nchini Korea Kusini aanakofanya ziara rasmi ya serikali. Ameandamana na mkewe Rachel Ruto na maafisa wengine wa ngazi za...

Ruto afungua jengo la Bunge Tower

0
Rais William Ruto mapema Alhamisi amefungua rasmi jengo la Bunge Tower lenye orofa 28, ambalo yatakuwa makao mapya ya afisi za wabunge wa mabunge...

Rais Ruto atuzwa nchini Ghana

0
Ghana imemtunuku Rais William Ruto tuzo ya juu zaidi nchini humo inayojulikana kama "The Companion of the Order of the Star of the Volta." Akimkabidhi...

Wakenya wanaoishi ughaibuni wasifiwa kwa mchango wao

0
Rais William Ruto amewataja Wakenya wanaoishi ughaibuni kuwa mnara wa kutia moyo kwa Kenya na dunia nzima kwa jumla.  Akirejelea wajibu mkubwa na mchango unaotolewa...

Mgomo wa madaktari: Rais Ruto atakiwa kuingilia kati

0
Makali ya mgomo wa madaktari ulioingia siku ya 20 leo Jumanne yalizidi kuhisiwa katika maeneo mengi ya nchi huku madaktari wakitoa wito kwa Rais...

Rais Ruto aongoza mkutano wa UDA

0
Rais William Ruto leo Jumanne anaongoza mkutano wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya chama cha UDA.  Mkutano huo unafanyika katika makao makuu ya chama hicho...

Rais Ruto: Kila eneo bunge litakuwa na taasisi ya TVET

Rais William Ruto amesema serikali ina nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa kila eneo bunge hapa nchini lina chuo cha mafunzo ya kiufundi, TVET...

Mbolea ya bei nafuu: Ruto awaondolea wakulima wasiwasi

0
Rais William Ruto amewaelezea Wakenya kwamba serikali itahakikisha mbolea ya bei nafuu inapatikana kabla ya kuanza kwa msimu ujao wa upanzi.  Amefutilia mbali hofu ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS