Home Tags Rais Willam Ruto

Tag: Rais Willam Ruto

Ruto asaini mswada wa bajeti ya ziada 2024 kuwa sheria

0
Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria mswada wa bajeti ya ziada 2024.  Katika hafla iliyoandaliwa katika Ikulu ya Nairobi leo Jumatatu, Ruto pia ametia...

Faye aapishwa kuwa Rais wa Senegal, Rais Ruto ampongeza kufuatia ushindi

0
Rais William Ruto amempongeza Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu ulioandaliwa nchini humo mwezi jana.  Rais Ruto...

Ruto: Tumebuni mazingira bora ya ukuaji wa uchumi

0
Rais William Ruto amesema nchi hii iko katika nafasi bora ya kukua kiuchumi kutokana na usimamizi bora wa uchumi wake.  Amesema matumizi bora ya fedha...

Ruto awataka wabunge kuunga mkono mswada wa nyumba za bei nafuu

0
Rais William Ruto ametoa wito kwa wabunge kuunga mkono mswada wa nyumba za bei nafuu na kusaidia kuwatafutia vijana ajira. Ruto amewataka wabunge kuchukua mtazamo...

Vita dhidi ya ufisadi: mihimili mitatu ya serikali kushirikiana

0
Mihimili mitatu ya serikali ambayo ni serikali kuu, idara ya mahakama na bunge imekubali kushirikiana ili kuimarisha vita dhidi ya ufisadi nchini.  Hayo yaliafikiwa wakati...

Rais Ruto akutana na Jaji Mkuu Martha Koome Ikulu ya Nairobi

0
Rais William Ruto leo Jumatatu anakutana na Jaji Mkuu Martha Koome katika Ikulu ya Nairobi.  Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa mawasiliano ya umma...

Mazungumzo kati ya Ruto na Jaji Koome yazua mdahalo

0
Wito wa Jaji Mkuu Martha Koome wa kutaka kufanya mazungumzo na Rais William Ruto kuhusiana na madai ya kukithiri kwa ufisadi katika idara ya...

Rais Ruto aendelea kueneza injili ya nyumba za bei nafuu

0
Mpango wa nyumba za bei nafuu unaotekelezwa na serikali ya Kenya Kwanza utasaidia kupanua fursa za kiuchumi zitakazowanufaisha vijana humu nchini.  Kadhalika, Rais William Ruto...

Wauguzi wanaotaka kufanya kazi ughaibuni sasa kutahiniwa Kenya

0
Wauguzi wanaotaka kufanya kazi ughaibuni sasa hawatahitaji kusafiri nje ya nchi ili kwenda kufanya mitihani ya kuwakubalia kufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani.  Hii ni...

LSK yapinga mkutano kati ya Rais Ruto na Jaji Mkuu Koome

0
Chama cha mawakili nchini, LSK kimepinga kufanyika kwa mkutano kati ya Rais William Ruto na Jaji Mkuu Martha Koome. Akiwahutubia wanahabari juzi Jumatatu, Jaji Koome...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS