Home Tags Rais Ruto

Tag: Rais Ruto

Serikali yapunguza bajeti kwa shilingi bilioni 132.4

0
Serikali imepunguza bajeti ya mwaka huu kwa shilingi bilioni 132.46 kutoka shilingi trilioni 3.981 hadi trilioni 3.848. Hilo ni punguzo la asilimia 3.3. Tangazo hilo limetolewa...

Rais Ruto: Unyunyiziaji mashamba maji utasitisha uagizaji chakula kutoka nje

0
Serikali inaongeza uwekezaji katika unyunyiziaji mashamba maji, ili kuimarisha uwezo wa taifa hili wa uzalishaji chakula, hayo ni kwa mujibu wa Rais William Ruto. Rais...

Upanzi wa miti washika kasi nchini

0
Pilikapilika za upanzi wa miti zilipamba moto humu nchini huku Rais William Ruto akizindua siku ya kitaifa ya upanzi wa miti katika eneo chepechepe...

Ruto: Mabadiliko katika sekta ya kahawa yanazaa matunda

0
Mabadiliko yanayotekelezwa na serikali ya Kenya Kwanza katika sekta ya kahawa yameanza kuzaa matunda.  Rais William Ruto anasema mabadiliko hayo yamehakikisha mkulima wa zao hilo...

Rais Ruto asifia mazungumzo ya maridhiano

0
Rais William Ruto amesifia mazungumzo ya maridhiano yanayoendelea ya pande mbili kati ya serikali na upinzani.  Mazungumzo hayo yamekuwa yakiongozwa na kinara wa chama cha...

Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge leo Alhamisi

0
Rais William Ruto leo Alhamisi mchana atalihutubia taifa kupitia kikao cha pamoja cha bunge la Taifa la lile la Seneti.  Hii itakuwa mara ya kwanza...

Rais Ruto awaomboleza waliofariki mkurupukoni Kericho

0
Rais William Ruto amewaomboleza watu wanne waliofariki wakati wa mkurupuko uliotokea katika uwanja wa michezo wa Kericho yalikofanyika maadhimisho  ya miaka 60 ya Siku...

Ruto asaini kuwa sheria miswada 4 ya upatikanaji wa afya kwa...

0
Rais William Ruto amesaini kuwa sheria miswada minne ya upatikanaji wa afya kwa wote.  Miswada iliyotiwa saini na Rais ni pamoja na Mswada wa Bima...

Ruto: Kenya iko tayari kwa biashara

0
Kenya iko wazi kwa biashara na ushirikiano utakaowafaidi raia wake. Hayo yamesemwa na Rais William Ruto wakati wa mkutano kati yake na Waziri Mkuu wa...

China kuunga mkono miradi ya miundombinu Kenya

0
China imeahidi kuziunga mkono kampuni zinazoendeshea shughuli zake nchini Kenya katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwa ni pamoja na barabara, reli, usafiri wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS