Home Tags RAILA

Tag: RAILA

Utafiti: Wengi wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani

0
Idadi kubwa ya Wakenya wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya Trends and...

Tumekusanya sahihi zaidi ya milioni 10, wasema Azimio

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umefichua kuwa umekusanya sahihi zaidi ya milioni 10 zinazotosha kufanya maamuzi muhimu dhidi ya serikali ya Kenya...

Raila ataka vyama vya kisiasa kuteua makamishna wa IEBC

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anapendekeza vyama vya kisiasa kupitia kwa kundi la wawakilishi wa vyama bungeni, IPPG vihusishwe katika mchakato wa kuwateua makamishna...

Azimio: Tuko tayari kuzungumza na Kenya Kwanza

0
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja Raila Odinga amesema wako tayari kuzungumza na serikali kuhusu maswala yanayoikumba nchi. Akizungmza Jumanne baada ya...

Okwaro ataka mashauriano kati ya serikali na upinzani

0
Katibu Mkuu wa muungano wa wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano nchini Benson Okwaro ametaka kuandaliwa kwa majadiliano ya kina kati ya serikali na upinzani...

Niko tayari kujadiliana na Rais Ruto mbele ya mpatanishi, asema Raila

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio One Kenya Raila Odinga amesimama kidete akisema kuwa yuko tayari kuketi kwenye meza ya mazungumzo na Rais William Rito...

Maendeleo ya Wanawake yataka serikali na upinzani kuzungumza

0
Shirika la Maendeleo ya Wanawake, MYWO limeitaka serikali na upinzani kuzungumza ili kuepusha maafa na uharibifu wa mali unaoletwa na maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS