Home Tags Raila Odinga

Tag: Raila Odinga

Raila: Mswada wa fedha 2024/25 ufanyiwe marekebisho

Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga amekosoa mswada wa kifedha wa mwaka 2024/25, akisema lazima ufanyiwe marekebisho. Kwenye taarifa, Odinga alisema mswada huo unakiuka...

Serikali yabuni sekretarieti ya kupigia debe uenyekiti wa Raila AUC

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amezindua kampeni ya serikali ambayo itapigia debe uwaniaji wa Raila...

Mudavadi, Raila kutoa taarifa kuhusu uenyekiti wa AUC

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi na aliyekuwa Waziri Mkuu  Raila Odinga leo Jumatano watatoa taarifa ya pamoja kuhusu hatua zilizopigwa katika uwaniaji wa...

Raila atoa wito wa kuchunguzwa kwa vifaa vya kiusalama

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga, ametoa wito wa kuchunguzwa kwa vifaa vya kiusalama, hususan ndege za kijeshi katika juhudi za kupunguza maafa zaidi, kufuatia...

Raila aingilia kati kupunguza joto la kisiasa ODM

0
Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amewataka viongozi wanaopigania uongozi wa chama hicho kutuliza uhasama unaoweza kukisambaratisha.  Mirengo kadhaa ya kisiasa imeibuka chamani humo...

Mwenyekiti mpya wa AUC kutoka Afrika Mashariki

0
Baraza Kuu la Umoja wa Afrika, AU leo Ijumaa limeidhinishaa kwa kauli moja kuwa mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC atachaguliwa...

Oparanya: Hakuna migawanyiko katika chama cha ODM

0
Naibu kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Wycliffe Oparanya, amepuuzilia mbali madai kwamba kuna migawanyiko katika chama hicho. Akizungumza na wanahabari baada ya...

Kalonzo na Eugene wasema upinzani utasalia imara bila Raila

0
Muungano wa Azimio utasalia imara hata ikiwa Raila Odinga atachaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC.  Hii ni kwa mujibu wa...

Raila apigiwa debe kuwania uenyekiti wa AUC

0
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika wametakiwa kuunga mkono juhudi za kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwania uenyekiti wa Tume ya Umoja...

Raila: Sijaondoka katika siasa za Kenya

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la umoja , Raila Odinga, amesema azma yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS