Home Tags Rachel Ruto

Tag: Rachel Ruto

Rachel Ruto: Vijana ni nguzo muhimu katika ustawi wa Kenya

0
Mama wa taifa Rachel Ruto, amesema kuwawezesha vijana ni nguzo muhimu katika kuhakikisha ufanisi wa taifa hili katika siku zijazo.  Akizungumza leo Jumanne wakati wa...

Kanisa latakiwa kuisaidia serikali kutekeleza mipango ya maendeleo

0
Kanisa limetakiwa kushirikiana na serikali kuwaelimisha Wakenya kuhusu fursa mbalimbali zinazotokana na mipango ya maendeleo inayotekelezwa na utawala wa Kenya Kwanza.  Mkewe Rais Rachel Ruto...

Serikali kutoa elimu bora kwa watoto wote, asema Rachel Ruto

0
Mkewe Rais Rachel Ruto amesema serikali inakusudia kuhakikisha kila mtoto nchini anapata elimu bora.  Rachel alitoa hakikisho hilo alipoelezea mabadiliko yanayofanywa katika sekta ya elimu...

Rachel Ruto apokea chakula cha msaada kuwakimu waathiriwa wa mafuriko

0
Mama taifa Rachel Ruto jana Jumatatu alizindua usambazaji wa chakula cha msaada kutoka kwa kampuni ya Soy Afriq, ikiongozwa na Mkurugenzi wake Cornelius Muthuri...

Ziara ya Mfalme Charles kuimarisha biashara nchini

0
Kenya itaongeza uhusiano wake na Uingereza ili kuimarisha biashara na uwekezaji. Rais William Ruto amesema nchi hizo mbili zina uhusiano tajiri, thabiti na wa kihistoria,...

Rachel Ruto kufanya mazungumzo na Malkia Camilla

0
Mama taifa Rachel Ruto atafanya mazungumzo na Malkia Camilla wa Uingereza ambaye ameandamana na mume wake Mfalme Charles wa tatu katika ziara rasmi ya...

Matukio ya Taifa: Wakenya wahimizwa kukumbatia mila na tamaduni kama chachu...

0
Wakenya wamehimizwa kukumbatia mila na tamaduni zao kukuza amani na maendeleo, akiongea katika ukumbi wa Bomas wakati wa kuadhimisha siku ya utamaduni hapa nchini...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS