Tag: Public Debt Taskforce
Muda wa agizo la mahakama la kusimamisha jopo la kutathmini deni...
Mahakama kuu imeongeza muda wa kusimamisha kikosi kazi kilichoteuliwa na Rais William Ruto kutathmini deni la taifa la Kenya.
Jaji Lawrence Mugambi alitoa maagizo hayo...