Home Tags PSG

Tag: PSG

Inasikitisha! Xavi amlaumu Refa baada ya Barcelona Kukandwa na PSG

0
Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez amemuelekezea kidole cha lawama refa Istvan Kovacs' raia wa Romania baada ya klabu yake kuondolewa na PSG kwa jumla...

Ligi kuu ya mabingwa ulaya kurejelewa leo.

Awamu ya pili ya raundi ya 16 bora ya ligi kuu ya mabingwa ulaya, itaanza Leo. Washindi mara sita wa taji hilo Bayern Munchen...

Mbappe Kugura PSG mwishoni mwa msimu

0
Mshambulizi matata wa Klabu ya PSG na timu taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe, ametangaza kugura uwanja wa Parc des Princes mwishoni mwa musimu....

PSG yakamilisha usajili wa kiungo chipukizi Gabriel Moscardo

0
Miamba wa Ufaransa Paris Saint-Germain wamekamilisha usajili wa kiungo chipukizi wa Brazil Gabriel Moscardo, kutoka klabu ya  Corinthians. Moscardo ametioa saini mkataba na PSG hadi...

PSG wajiburuza hadi mchujo wa Ligi ya Mabingwa huku Newcastle wakiondokea

0
Klabu ya Paris St-Germain iliponea chupuchupu na kutinga raundi ya 16 bora ya kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kulazimisha sare ya...

Mchezaji nyota wa Barcelona kuelekea PSG, Xavi atoa machozi

0
Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez amethibitisha kuwa winga Ousmane Dembele raia wa Ufaransa anataka kujiunga na klabu ya Paris Saint Germain katika dirisha hili...

Majangili wamvamia kipa wa PSG Donnaruma na kupora mikufu ya shilingi...

0
Maafisa wa Polisi nchini Ufaransa wameanzisha uchunguzi wa wizi wa kimabavu uliotekelezwa na majambazi waliojihami nyumbani kwa kipa wa klabu ya Paris St Germain...

Real Madrid yamnyatia Mbappé

0
Klabu ya Real Madrid imezidisha juhudi za kumnyemelea mshambulizi wa Paris St Germain Kylian Mbappé. Madrid inawania kumsajili Mbappe kwa mara ya pili baada ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS