Home Tags PS Dr. Raymond Omollo

Tag: PS Dr. Raymond Omollo

Kituo cha kuratibu mipango ya kukabiliana na mafuriko chabuniwa

0
Wizara ya mambo ya ndani imetangaza kwamba kituo cha kuratibu mipango na mawasiliano kuhusu kukabiliana na athari za mvua kubwa inayonyesha nchini hasa mafuriko...

Gari walilokuwa wakisafiria maafisa wa KRA waliosombwa na maji Kwale lapatikana

0
Gari ambalo maafisa wawili wa KRA walikuwa wakisafiria waliposombwa na maji ya mafuriko katika daraja la mto Ramisi, katika kaunti ya Kwale limepatikana. Mkasa huo...

Machifu wajukumiwa kugawa miche na kuhakikisha upanzi Jumatatu

0
Serikali imesema kwamba mipango ya shughuli ya upanzi wa miti kote nchini siku ya Jumatatu itakayoongozwa na Rais Willliam Ruto imekamilika. Katika taarifa ya pamoja...

Koskei asema serikali itahudumia Wakenya wote kwa usawa

0
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema serikali ya Rais William Ruto itaendelea kuwahudumia Wakenya wote kwa usawa bila kuzingatia miegemeo yao ya...

Kenya yateuliwa kuongoza vita dhidi ya biashara ya silaha ndogo ndogo...

0
Kenya imekabidhiwa jukumu la kuongoza harakati za kukomesha biashara ya silaha ndogo ndogo katika eneo la maziwa makuu na upembe wa Afrika. Kenya inachukua uenyekiti...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS