Tag: Protests
Wananchi waandamana kulalamikia ukosefu wa maendeleo Tanzania
Wakazi wa maeneo yaliyo karibu na hifadhi ya wanyamapori ya Ngorongoro nchini Tanzania ambao wengi ni wa jamii ya Maasai waliandamana na kufunga barabara...
Waandamanaji wavamia afisi ya mbunge wa Nyali
Kundi la waandamanaji wanaopinga Mswada wa Fedha wa mwaka 2024 leo Jumatatu walivamia afisi ya mbunge wa Nyali Mohamed Ali kuwasilisha na kuelezea kutoridhishwa...
Walimu wa JSS wafanya maandamano Ol-Kalou
Walimu wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Nyandarua walifanya maandamano mjini Ol-Kalou kulalamikia walichokitaja kuwa kuhadaiwa na serikali katika masuala ya ajira...
Mauaji ya mwanafunzi wa kike yazua maandamano kote nchini Italia
Watu wengi wamejitokeza kushiriki maandamano kwenye barabara za miji kadhaa nchini Italia kulalamikia mauaji ya mwanafunzi wa kike.
Maandamano makubwa yalishuhudiwa katika miji ya Roma,...