Home Tags President William Ruto

Tag: President William Ruto

Maandalizi ya siku ya wafugaji wa ng’ombe wa maziwa Meru yaendelea

Maandalizi ya siku ya wafugaji wa ng'ombe wa maziwa katika kaunti ya Meru yanaendelea na duru zinaarifu kwamba yanakaribia kukamilika. Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria. Waandalizi...

Rais Ruto abuni kundi la kushughulikia malalamishi ya rais mstaafu

0
Msemaji wa ikulu ya rais Hussein Mohamed ametangaza kwamba rais William Ruto amebuni kundi la kushughulikia malalamishi yote yaliyoibuiliwa na rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Kupitia...

Viongozi barubaru wa UDA wahimizwa kuwa na subira

0
Rais William Ruto amehimiza viongozi ambao ni vijana barubaru katika chama tawala UDA kuwa na subira wakati wao utafika. Kiongozi wa nchi aliyasema hayo wakati...

Ruto: Uwezo wa kawi safi haujakua Afrika

0
Rais William Ruto amesema kwamba uwezo wa kawi safi uliongezeka kwa kiwango kikubwa ulimwenguni mwaka 2023 ambapo gigawatt 500 ziliongezwa na uwekezaji wa dola...

Ruto akubali mpango wa Biden wa kusitisha vita Gaza

0
Rais William Ruto ametangaza kwamba anakubaliana na mpango wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Kupitia taarifa kwenye akaunti...

Ruto ahakikishia Wakenya mabadiliko katika sekta ya kilimo

0
Rais William Ruto amehakikishia Wakenya kwamba utawala wake umejitolea kuhakikisha mabadiliko katika sekta ya kilimo ili kupanua fursa kwa vijana na kutoa nafasi za...

Rais Ruto kufungua kongamano la uwekezaji Nyanza

0
Rais William Ruto anatarajiwa kufungua rasmi kongamano la kimataifa la uwekezaji la eneo la Nyanza mwezi ujao, haya ni kulingana na waziri wa mawasiliano...

Rais Ruto arejea kutoka Marekani

0
Rais William Ruto amerejea nchini Kenya baada ya ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Marekani. Kiongozi wa nchi alilakiwa katika uwanja wa ndege na...

Coca-Cola yahakikisha uwekezaji nchini Kenya

0
Kampuni ya Coca-Cola imetangaza nia yake ya kukuza uwekezaji wake nchini Kenya kwa hadi bilioni 23 (dola milioni 175) katika kipindi cha miaka mitano...

Rais Ruto akutana na mtoto Tinsley Nduta

0
Rais William Ruto alikutana na mtoto kwa jina Tinsley Nduta katika ikulu ya Nairobi jana Jumapili Mei 19, 2024. Nduta alikuwa ameandamana na wazazi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS