Home Tags President Samia Suluhu Hassan

Tag: President Samia Suluhu Hassan

Rais Samia ahimiza wasanii nchini Tanzania kukoma kuzozana

0
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza wasanii nchini Tanzania kukoma kuzozana na badala yake kushirikiana na kutia bidii katika kazi zao. Akizungumza katika...

Harmonize kuzindua albamu iitwayo “Muziki wa Samia”

0
Mwanamuziki wa Tanzania Rajab Abdul Kahali, maarufu kama Harmonize ametangaza kwamba atazindua albamu yake ya tano mwezi huu. Albamu hiyo iliyopatiwa jina "Muziki wa Samia"...

Diamond na Harmonize wasalimiana kwenye futari ya Rais Samia Ikulu

0
Usiku wa jana Jumanne Machi 12, 2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daktari Samia Suluhu Hassan aliandaa futari katika uwanja wa Ikulu...

Hafla ya kitaifa ya kuaga mwili wa Rais Hage Geingob kuandaliwa...

0
Viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wa taifa la Namibia wanakusanyika leo katika uwanja wa michezo wa Independence jijini Windhoek nchini Namibia kuuaga mwili...

Rais Samia kuongoza mazishi ya Lowassa

0
Mwili wa marehemu Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa utazikwa Jumamosi, Februari 17, 2024 nyumbani kwake katika wilaya ya Monduli, eneo la...

Rambirambi zamiminika kufuatia kifo cha Geingob

0
Jumbe za rambirambi zinazidi kutolewa na viongozi mbalimbali kufuatia kufariki kwa Rais wa Namibia Hage Geingob mapema leo Jumapili. Aliyekuwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta...

Watu 22 wafariki kwenye ajali ya kuporomoka kwa mgodi Tanzania

0
Watu 22 wamethibitishwa kufariki kwenye ajali ya kuporomoka kwa mgodi katika eneo la kaskazini mwa taifa jirani la Tanzania, kulingana na serikali ya nchi...

Mpango wa usaidizi wa kisheria wa Rais Samia kuendelea hadi ufikie...

0
Waziri wa Masuala ya Katiba na Sheria nchini Tanzania Balozi Pindi Chana amesema kwamba wizara yake imejipanga kikamilifu kuhakikisha kwamba wananchi wote wananufaika na...

Rais Samia aagiza Hanang kusafishwe kufikia usiku leo

0
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameelekeza maafisa wanaotekeleza shughuli za uokoaji na urejesho wa wilaya ya Hanang baada ya mafuriki wahakikishe wamemaliza kazi...

Wasimamizi wa michezo Tanzania waombwa kuwa makini

0
Rais wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan amewataka wasimamizi wa michezo nchini humo kuwa makini ili kuhakikisha weledi katika uendeshaji wa shughuli za michezo. Alikuwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS