Home Tags President Joe Biden

Tag: President Joe Biden

Biden na Macron wafanya majadiliano

0
Kiongozi wa nchi ya Ufaransa Emmanuel Macron alimlaki mwenzake wa Marekani Joe Biden Jumamosi Juni 7, 2024 jijini Paris. Biden ambaye yuko kwenye ziara nchini...

Ruto akubali mpango wa Biden wa kusitisha vita Gaza

0
Rais William Ruto ametangaza kwamba anakubaliana na mpango wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Kupitia taarifa kwenye akaunti...

Serikali ya Israel yahimizwa kukubali mpango wa Biden wa kusitisha mapigano

0
Jamaa za raia wa Israel ambao walishikwa mateka na wapiganaji wa Hamas huko Gaza wameitaka serikali ya nchi yao kukubali mpango wa Rais Joe...

Marekani yatoa msaada wa kibinadamu Gaza

0
Marekani imesambaza msaada wa kwanza wa kibinadamu katika ukanda wa Gaza ambapo vyakula vilivyopakiwa vinavyotosha zaidi ya watu elfu 30, vikisambazwa kwa kutumia ndege...

Marekani kuendelea kusaidia Ukraine hata inapokumbwa na matatizo ya bajeti

0
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kwamba Marekani itaendelea kuisaidia Ukraine hata inapokumbwa na matatizo ya bajeti. Haya yanajiri baada ya Biden kuonya bunge la...

Korea Kaskazini yalaani mpango wa Amerika wa kutuma nyambizi za kivita...

0
Korea Kaskazini imelaani mpango wa Amerika wa kutuma nyambizi zilizo na zana za kunuklia na makombora karibu na sehemu ya Korea inayozungukwa na maji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS