Home Tags Pombe haramu

Tag: Pombe haramu

NACADA yatakiwa kuimarisha vita dhidi ya pombe, mihadarati

0
Mamlaka ya Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya na Pombe Haramu nchini, NACADA limetakiwa kuimarisha juhudi za kupambana na matumizi ya pombe na...

Wakenya watakiwa kuungana kupambana na pombe, dawa za kulevya

0
Kuna haja kwa Wakenya kushikana mikono ili kupambana na jinamizi la pombe haramu na dawa za kulevya humu nchini.  Hayo yamesemwa na mkewe Naibu Rais...

Kindiki: Maduka ya pombe zaidi ya 18,000 yamefungwa kote nchini

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki amefichua kuwa takriban maduka elfu 18,650 ya kuuza pombe yamefungwa kote nchini kufikia sasa kwenye msako...

Gachagua: Serikali haitalegeza kamba katika vita dhidi ya pombe haramu

0
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa kundi la asasi mbali mbali za maafisa wa usalama, kukaza kamba katika vita dhidi ya pombe...

Biashara ya pombe haramu: Maafisa wa usalama wanaojihusisha kufutwa kazi

0
Rais William Ruto amewataka maafisa wa usalama wanaojihusisha na biashara ya pombe kukoma mara moja au wasimamishwe kazi. Akihutubia wakazi wa kaunti ya Kericho,...

Gachagua ataka vita dhidi ya pombe haramu kuimarishwa maradufu

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametaka vita dhidi ya pombe haramu kuimarishwa hata zaidi.  Akizungumza mjini Embu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Gachagua...

Pombe haramu: Maafisa wa usalama wanaozembea kazini kufutwa kazi

0
Maafisa wa usalama na utawala watakaopatikana wakikosa kuchukua hatua kali dhidi ya utengenezaji, uuzaji na unywaji wa pombe haramu kuanzia sasa watafutwa kazi.  Awali, maafisa...

Kanisa latakiwa kuunga mkono vita dhidi ya pombe haramu na mihadarati

0
Kanisa hapa nchini limetakiwa kupiga jeki vita dhidi ya utengenezaji, uuzaji, usambazaji na unywaji wa pombe haramu. Akizungumza na viongozi wa makanisa waliomtembelea nyumbani kwake...

Vita dhidi ya pombe haramu vyachacha Kericho

0
Kamishna wa kaunti ya Kericho Gilbert Kitiyo amewaagiza maafisa wa polisi kuimarisha msako dhidi ya pombe haramu zikiwemo baa zinazouza pombe hiyo.  Kitiyo ameonya kuwa...

Serikali yatangaza msako wa kitaifa dhidi ya pombe haramu

0
Waziri wa usalama wa kitaifa Prof. Kithure Kindiki, ameagiza kutekelezwa kwa msako wa kitaifa dhidi ya pombe haramu. Agizo hilo la Kindiki, linajiri wiki moja...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS