Home Tags PM Benjamin Netanyahu

Tag: PM Benjamin Netanyahu

Serikali ya Israel yahimizwa kukubali mpango wa Biden wa kusitisha mapigano

0
Jamaa za raia wa Israel ambao walishikwa mateka na wapiganaji wa Hamas huko Gaza wameitaka serikali ya nchi yao kukubali mpango wa Rais Joe...

Netanyahu akataa pendekezo la Hamas la mapatano ya kusitisha vita

0
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa mpango wa mapatano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza uliopendekezwa na kundi la Hamas. Kundi la Hamas...

Netanyahu aashiria ujio wa mapatano mengine ya kuachiliwa kwa wafungwa

0
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameashiria kwamba huenda kukaafikiwa mapatano mengine ya kuachilia wafungwa wa pande zote mbili kwani mashauriano yanaendelea. Aliyasema hayo jana...

Israel yatangaza vita na kuapa kulipiza kisasi Gaza

0
Hofu ya shambulizi katika ukanda wa Gaza inazidi kuongezeka baada ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuapa kugeuza eneo hilo kuwa mahame kama...

Netanyahu ataka raia wa Eritrea waliohusika kwenye maandamano warejeshwe kwao

0
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anataka raia wa Eritrea ambao walihusika kwenye maandamano yaliyoghubikwa na vurugu jijini Tel Aviv warejeshwe nchini kwao mara...

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alazwa hospitalini

0
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelazwa hospitalini ili kupata huduma ya dharura ya kuwekewa kifaa cha kusaidia kuongeza kasi ya moyo kupiga. Haya yanajiri...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS