Home Tags Paul Mackenzie

Tag: Paul Mackenzie

Miili saba zaidi yafukuliwa Shakahola

0
Miili saba zaidi imefukuliwa leo Jumanne, katika eneo la Kwa Mugambi kwenye msitu wa Shakahola, kaunti ya Kilifi.  Kufukuliwa kwa miili hiyo kumeongeza idadi juma...

Mahakama: Paul Mackenzie na wenzake walazwe hospitalini

0
Mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wengine wenza 94 wataendelea kuzuiliwa gerezani hadi Machi 5, 2024. Mahakama  imeamuru kwamba Mackenzie na wenzake walazwe hospitalini baada...

ODPP yasema ushahidi unatosha wa kushtaki washukiwa wa mauaji ya Shakahola

0
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini ODPP imetangaza kwamba kuna ushahidi wa kutosha wa kushtaki washukiwa 95 wa mauaji ya Shakahola. Kupitia taarifa...

Paul Mackenzie afungwa miezi 12 jela kwa kumiliki studio bila idhini

Mahakama ya Malindi leo Ijumaa imemhukumu mhubiri mwenye utata, Paul Mackenzie kifungo cha miezi 12 gerezani kwa kumiliki na kusambaza filamu ambazo hazijakaguliwa na...

Mackenzie apatikana na hatia ya kusambaza filamu bila leseni

0
Mhubiri anayekumbwa na utata wa kanisa la Good News International Paul Mackenzie, amepatikana na hatia ya kumiliki na kusambaza filamu bila leseni kutoka bodi...

Mhubiri Ezekiel bado hajaponyoka!

0
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini DPP imefafanua kwamba Mhubiri Ezekiel Odero wa kanisa la New Life Prayer center bado hajaondolewa mashtkata. Kwenye...

Mhubiri Mackenzie kuzuiliwa kwa siku saba zaidi

Mhubiri Paul Mackenzie wa kanisa la Good News International na washtakiwa wenzake 29 wataendelea kuzuiliwa kwa siku saba zaidi, kusubiri uamuzi wa ombi lililowasilishwa...

Matukio ya Taifa: Paul Mackenzie na washtakiwa wengine kuendelea Kuzuiliwa kwa...

0
Mhubiri Paul Mackenzie wa Kanisa la Good News International na washtakiwa wenzake 29 wataendelea Kuzuiliwa kwa siku saba zaidi kusubiri uamuzi wa ombi lililowasilishwa...

Kamati inayochunguza mauaji ya Shakahola yaomba muda zaidi

0
Kamati maalumu ya bunge la Seneti iliyobuniwa kuchunguza mauaji ya Shakahola inaomba muda zaidi ili iweze kukamilisha kazi yake. Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni...

Mackenzie kubaini hatima yake Jumatatu

0
Mshukiwa mkuu katika vifo vya mamia ya watu eneo la Shakahola Paul Mackenzie na washirika wengine 29, wanatarajiwa kubaini hatima yao leo Jumatatu wakati...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS