Home Tags Paul Kagame

Tag: Paul Kagame

Paul Kagame awasilisha stakabadhi zake kuwania Urais kwa mara ya nne

Rais Paul Kagame alikuwa wa kwanza kuwasilisha nyaraka zinazohitajika ili kumuwezesha kuwa mgombea wa nafasi ya sasa ya rais wa Rwanda. Akiwa na mkewe Jeannette...

Rais Ruto awasili nchini Rwanda kwa ziara rasmi

Rais William Ruto amewasili Kigali, nchini Rwanda kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa maafisa wakuu watendaji wa Bara Afrika. Rais Ruto anatarajiwa kuwa na...

Rais Kagame: Kenya ilitekeleza wajibu mkubwa kuisaidia Rwanda

0
Rais wa Rwanda Paul Kagame, ameipongeza Kenya kwa wajibu wake mkubwa katika kujengwa upya kwa taifa la Rwanda baada ya mauaji ya kimbari yaliyotekelezwa...

Kagame akubali kukutana na Tshisekedi kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC

Rais wa Rwanda Paul Kagame amekubali kukutana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi kujadili mzozo unaoendelea mashariki mwa Congo, serikali...

Kagame aidhinishwa kuwania Urais kwa muhula mwingine

0
Chama tawala nchini Rwanda kimemwidhinisha Rais Paul Kagame kuwania Urais kwa muhula mwingine kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuwandaliwa Julai mwaka huu. Endapo atachaguliwa...

‘Nitagombea muhula wa nne mwaka 2024’ – Kagame

0
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema atawania muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwaka ujao. "Ndiyo, hakika mimi ni mgombea,"Bw Kagame aliambia jarida la...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS