Tag: Paris Olympic Games 2024
Wanyonyi adumisha ubabe wa Kenya wa mita 800 Olimpiki
Emmanuel Wanyonyi ndiye bingwa mpya wa Olimpiki wa mita 800 baada ya kuparakasa fainali kwa dakika 1 sekunde 41.19.
Marco Arop wa Canada ameshinda fedha...
Vidosho wa Kenya kuwinda dhahabu telezi ya mita 10,000 Olimpiki
Bingwa wa Olimpiki katika mita 5,000 Beatrice Chebet atawaongoza Margaret Chelimo na Lillian Kasait huku Kenya ikiwinda dhahabu ya kwanza ya mita 10,000 Ijumaa...
Paris Olympics: Faith Cherotich aponyoka na shaba ya mita 3,000 kuruka...
Faith Cherotich aliinyakulia Kenya nishani ya shaba katika fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji Jumanne usiku katika Michezo ya Olimpiki jijini Paris,...
Omanyala afuzu kwa nusu fainali ya mita 100 Olimpiki
Mshikilizi wa rekodi ya Afrika Ferdinand Omanyala amefuzu kwa nusu fainali ya mita 100 katika michezo ya olimpiki jijini Paris Ufaransa .
Omanyala ambaye pia...
Kipyegon,Chebet na Chelimo watua fainali ya mita 5,000 Olimpiki
Bingwa wa dunia katika mita 5,000 Faith Kipyegon amewaongoza wenzake Margaret Chelimo na Beatrice Chebet, kufuzu kwa fainali ya mbio hizo baada ya kutamba...
Paris Olympics: Gathimba na Cherotich kujitosa uwanjani Alhamisi
Samuel Gathimba Kireri atakuwa mwanariadha wa kwanza wa Kenya kujitosa uwanjani Alhamisi, Agosti 1, 2024 huku mchezo wa riadha ukianza ramsi katika mashindano ya...
Jackson na Sifan wajiondoa mbio za mita 100 na 1500
Wanariadha Shericka Jackson wa Jamaica na Sifan Hassan wa Uholanzi, wamejiondoa katika mbio za mita 100 na 1500 mtawalia katika makala ya mwaka huu...
Misukosuko inayoghubika michezo ya Olimpiki jijini Paris
Michezo ya Olimpiki itakayofunguliwa rasmi Ijumaa, imekumbwa na misukosuko mingi kuanzia kwa matayarisho ya miundo mbinu hadi kuelekea uwanjani.
Wafanyikazi wa kuzoa taka jijini Paris...
Chimbuko la Olimpiki sehemu ya pili
Makala ya 33 ya michezo ya Olimpiki inayoandaliwa kila baada ya miaka minne, yataanza rasmi leo Julai 24 jijini Paris,Ufaransa kwa mechi za mchezo...