Tag: Paris 2024
Chebet atawazwa mwanaspoti bora wa Agosti
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Beatrice Chebet ndiye mwanaspoti bora wa mwezi Agosti wa tuzo ya chama cha wanahabari wa michezo LG/SJAK, baada ya...
Washindi wa medali za Olimpiki watuzwa pesa
Washindi wa nishani za Olimpiki wametuzwa pesa na serikali baada ya kulakiwa katika Ikulu ya Eldoret na Rais William Ruto siku ya Alhamisi.
Kila mshindi...
Rais Ruto:Hazina ya michezo ikuze michezo pekee
Rais William Ruto amemwagiza Waziri wa Michezo Kipchumba Murkomen kuhakiksiha hazina ya kustawisha michezo, inatumika kwa manufaa ya wanamichezo pekee.
Ruto amesema kuwa pesa hizo...
Mabingwa wa Olimpiki Kipyegon na Chebet kuwasili nyumbani Jumanne usiku
Mabingwa wa OIimpiki Faith Kipyegon na Beatrice Chebet, waanatarajiwa kuwasili nchini Jumanne usiku kutoka Paris Ufaransa.
Kipyegon alihifadhi taji ya mita 1,500 ikiwa mara yake...
Kenya yaibuka bora Afrika katika Michezo ya Olimpiki Paris
Kenya imeibuka bora barani Afrika katika makala ya 33 ya Michezo ya Olimpiki iliyokamilika Jumapili jijini Paris nchini Ufaransa.
Kenya imezoa jumla ya medali 11,...
Chebet avunja nuksi ya Olimpiki kwa vipusa wa Kenya mita...
Beatrice Chebet alipeperusha bendera ya Kenya kwa njia ya kipekee Ijumaa usiku ugani Stade De France, baada ya kutwaa dhahabu ya mbio za mita...
Vidosho wa Kenya kuwinda dhahabu telezi ya mita 10,000 Olimpiki
Bingwa wa Olimpiki katika mita 5,000 Beatrice Chebet atawaongoza Margaret Chelimo na Lillian Kasait huku Kenya ikiwinda dhahabu ya kwanza ya mita 10,000 Ijumaa...
Tebogo amfyatua Lyles na kutawazwa bingwa wa Olimpiki wa mita 200
Letsile Tebogo wa Botswana ndiye bingwa mpya wa Olimpiki wa mita 200 katika mashindano ya Paris, Ufaransa baada ya kumduwaza Noah Lyles wa Marekani.
Chipukizi...
Paris Olympics: Faith Cherotich aponyoka na shaba ya mita 3,000 kuruka...
Faith Cherotich aliinyakulia Kenya nishani ya shaba katika fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji Jumanne usiku katika Michezo ya Olimpiki jijini Paris,...
Vipusa watatu wa Kenya wafuzu kwa nusu fainali ya...
Bingwa mtetezi Faith Kipyegon amewaongoza Wakenya wenza Susan Ejore na Nelly Chepchirchir, kufuzu kwa nusu fainali ya mbio za mita 1,500 katika michezo ya...