Tag: Paris 2024 Olympic Games
Omanyala asakamwa na nuksi ya kukosa fainali ya Olimpiki tena
Ndoto ya bingwa wa Jumuiya ya Madola katika mbio za mita 100 Ferdinand Omanyala ya kuweka historia kuwa Mkenya wa kwanza kufuzu kwa fainali...
Ukame wa dhahabu ya mita 10,000 Olimpiki wavuka miaka 56...
Ni miaka 56 imepita tangu Kenya ijishindie dhahabu ya kwanza ya mita 10,000 kaitika michezo ya Olimpiki iliyotwaliwa na marehemu Naftali Temu.
Yaonekana ukame na...
Kipyegon,Chebet na Chelimo watua fainali ya mita 5,000 Olimpiki
Bingwa wa dunia katika mita 5,000 Faith Kipyegon amewaongoza wenzake Margaret Chelimo na Beatrice Chebet, kufuzu kwa fainali ya mbio hizo baada ya kutamba...
Riadha ya Olimpiki ndani ya uwanja kuanza rasmi Ijumaa
Mashindano ya riadha ndani ya uwanja katika makala ya mwaka huu ya michezo ya Olimpiki yataanza rasmi Ijumaa Agosti 2, katika uwanja wa Stade...
Malkia Strikers waambulia kichapo cha pili Olimpiki
Matumaini ya timu ya Kenya ya Voliboli ya wanawake kuzoa angaa seti katika michezo ya Olimpiki ya Paris, yalitumbukia nyongo Jumatano, baada ya kucharazwa...
Afrika ingali kusuasua katika Michezo ya Olimpiki Paris
Mataifa ya Afrika yangali yanasuasua siku tano tangu kuanza kwa makala ya 33 ya Michezo ya Olimpiki jijini Paris, Ufaransa.
Hadi leo Jumatatu, hakuna nchi...
Mashabiki wa VIP pekee kuruhusiwa kupiga mtindi ndani ya uwanja Olimpiki
Mashabiki wa jukwaa kuu VIP pekee ndio wataruhusiwa kunywa pombe ndani ya uwanja kwenye michezo ya Olimpiki, inayoendelea nchini Ufaransa.
Sheria za Ufaransa za mwaka...
Kenya kumenyana na Samoa Jumamosi katika michezo ya Olimpiki
Timu ya taifa ya raga ya Kenya kwa wachezaji saba upande ya wanaume ukipenda Shujaa ,itarejea kucheza dhidi ya Samoa Jumamosi jioni katika siku...
Michezo ya Olimpiki yafunguliwa kwa sherehe za kufana Paris
Nahodha wa timu ya taifa ya Voliboli ya Kenya kwa vipusa Triza Atuka na mshikilizi wa rekodi ya Afrika ya mita 100, Ferdinand Omanyala...
Washindi medali za Olimpiki katika raga kubainika kesho
Washindi wa medali za dhahabu ,fedha na shaba katika raga ya wachezaji saba upande wanaume katika michezo ya Olimpiki jijini Paris,Ufaransa watabainika kesho.
Katika mechi...