Home Tags Palestine

Tag: Palestine

Ruto akubali mpango wa Biden wa kusitisha vita Gaza

0
Rais William Ruto ametangaza kwamba anakubaliana na mpango wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Kupitia taarifa kwenye akaunti...

Ireland, Uhispania na Norway kutambua Palestina kama taifa Mei 28

0
Viongozi wa mataifa ya Uhispania, Norway na Ireland, wametangaza kutambua Palestina kama taifa kwa lengo la kuleta amani baina yake na Israel na mashariki...

Watu 19 wauawa Gaza wakisubiri msaada

0
Yamkini wapalestina 19 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa na wanajeshi wa Israel katika ukanda wa Gaza, shambulizi lililolenga raia waliokuwa wakisubiri msaada kusini mashariki mwa...

Israel yakaa shingo ngumu Gaza

0
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa abadan kusitisha mashambulizi katika ukanda wa Gaza licha shinikizo kutoka kwa washirika wa karibu Marekani. Netanyahu alinukuliwa...

Netanyahu akataa pendekezo la Hamas la mapatano ya kusitisha vita

0
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa mpango wa mapatano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza uliopendekezwa na kundi la Hamas. Kundi la Hamas...

Netanyahu akataa hadharani msukumo wa Marekani kubuniwa kwa taifa la Palestina

0
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anasema ameiambia Marekani kuwa anapinga kuanzishwa kwa taifa la Palestina mara baada ya mzozo wa Gaza kumalizika. Katika mkutano...

Majeshi ya Israel yaangamiza wanamgambo wanne wa Hezbollah

0
Majeshi ya Israel yameripotiwa kuwaua wanamgambo wanne wa kundi la Hezbollah siku ya Jumatano, katika shambulizi jipya . Yamkini jeshi la Israel limekuwa likitekeleza mashambulizi...

Watoto zaidi ya 12 wafariki kufuatia shambulizi la Israel katika hospitali...

0
Watoto zaidi ya 12 waliuawa katika hospitali ya Al Shifa katika Ukanda wa Gaza kufuatia shambulizi jipya la majeshi ya Israel. Majeshi ya Israel yalitekeleza...

Wapalestina 9,000 wameangamia katika vita vya Gaza

0
Takriban Wapalestina 9,000 wamefariki tangu kuanza kwa vita katika ukanda wa Gaza, majeshi ya Israel yakipigana na wanamgambo wa kundi haramu la Hamas. Kulingana na...

Wapalestina watakiwa kuondoka Gaza kufikia Ijumaa usiku

0
Jeshi la Israel limetoa makataa ya saa 24 kuanzia mapema leo Ijumaa kwa Wapalestina wote kuhama Gaza kabla ya kushambulia ukanda huo. Watu milioni 1.1...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS