Tag: Oppostion Leader
Filamu ya matukio halisi kuhusu Bobi Wine kuzinduliwa
Filamu ya matukio halisi kuhusu kiongozi wa upande wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine imeandaliwa na itazinduliwa Julai 28, 2023...