Home Tags Opiyo Wandayi

Tag: Opiyo Wandayi

Wetang’ula: Bunge halijatekwa nyara na serikali kuu

Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amewahakikishia wabunge kwamba bunge halitatumiwa kuidhinisha ajenda za serikali. Akigusia maoni ya kiongozi wa wachache katika bunge hilo...

Wandayi: Ziara ya Rais Ruto Nyanza haitayumbisha ufuasi wa Raila

0
Ziara ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza, haitasababisha wakazi wa eneo hilo kusitisha ufuasi wao kwa Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga,...

Wabunge wakashifu shambulizi dhidi ya mbunge wa kaunti ya Kirinyaga Njeri...

0
Wabunge siku ya Jumatano, wamekashifu vikali kisa cha kushambuliwa kwa mwakilishi wanawake wa kaunti ya Kirinyaga Jane Njeri Maina. Maina, ambaye alikuwa akitembea kwa miguu...

Kalonzo kuongoza ujumbe wa Azimio kwenye mazungumzo na Kenya Kwanza

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, umezindua kundi la wanachama watano kuuuwakilisha kwenye mchakato wa mazugumzo na Kenya Kwanzaambayo yalipendekezwa. Kwenye taarifa, Azimio...

Azimio washutumu serikali kwa njama ya kutumia wahuni kuvuruga maandamano

0
Muungano wa upinzani, Azimio One Kenya, umeishutumu serikali kwa kukodi majangili kuvuruga maandamano yao ya amani wiki hii. Kinara wa walio wachache katika bunge la...

Wabunge wa Azimio waondoka bungeni wakati wa kusomwa kwa bajeti

0
Baadhi ya wabunge wanaoegemea mrengo wa Azimio walitoka nje ya Bunge la Taifa Alhamisi alasiri muda mfupi baada ya Waziri wa Fedha Njuguna Ndung'u...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS