Tag: Olympics 2024
Lokedi atwaa nafasi ya Kosgei katika timu ya Olimpiki ya marathon
Bingwa wa New York Marathon mwaka 2022 Sharon Lokedi, ametwaa nafasi ya Brigid Kosgei katika timu ya mbio za marathon katika makala ya 31...
Moraa alenga dhahabu ya Olimpiki Paris
Bingwa wa dunia katika mbio za mita 800 Mary Moraa analenga kutwaa dhahabu katika mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika jijini Paris, Ufaransa mwezi Agosti mwaka...