Home Tags Okiya Omtatah

Tag: Okiya Omtatah

Omtatah: Sijamhonga Jaji yeyote

0
Seneta wa kaunti ya Busia Okiyah Omtatah, amekashifu mashambulizi ya hivi majuzi dhidi ya idara ya Mahakama. Seneta huyo amedai kuwa serikali haina ushahidi kwamba...

Kesi dhidi ya sheria ya fedha mwaka 2023 yaanza kusikizwa mahakamani

0
Kesi inayopinga utekelezwaji wa sheria ya fedha ya mwaka 2023 imeanza kusikizwa mapema leo Jumatano katika mahakama kuu ya Kenya. Keshi hiyo inasikilizwa na majaji...

Mahakama ya Juu kutoa mwelekeo kuhusu sheria ya fedha Agosti 28

Mahakama ya Juu tarehe 28 mwezi huu itatoa mwelekeo kwenye kesi iliyowasilishwa na Seneta wa kaunti ya Busia Okiya Omtatah ya kupinga agizo la...

Mahakama Kuu yadinda kusitisha utekelezaji wa sheria ya fedha mwaka 2023

0
Mahakama Kuu ya Kenya imedinda kusimamisha utekelezaji wa sehemu ya sheria katika sheria ya fedha ya mwaka 2023. Seneta wa Busia Okiya Omtatah kwenye kesi...

Majaji wa kusikiliza kesi ya kupinga sheria ya fedha wateuliwa

0
Jaji Mkuu Martha Koome ameteua jopo la majaji watatu litakalosikiliza na kuamua kesi ya kupinga sheria ya fedha ya mwaka 2023. Jaji David Majanja ataongoza...

Mahakama yaongeza muda wa maagizo ya kusimamisha sheria ya fedha

0
Mahakama kuu imeongeza muda wa maagizo ya kusimamisha utekelezaji sheria ya fedha ya mwaka 2023 hadi Jumatatu wiki ijayo. Jaji Mugure Thande ataamua siku hiyo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS