Home Tags ODPP

Tag: ODPP

Babu Owino na wenzake waondolewa mashtaka

0
Mahakama ya Milimani jijini Nairobi leo Jumatano imetupilia mbali kesi iliyomkabili mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino na washtakiwa wenzake sita. Uamuzi huo unafuatia...

Maafisa wa zamani wa KDF watakiwa kufika katika Mahakama Kuu ya...

0
Afisi ya kiongozi wa mashtaka ya umma ODPP, imetoa agizo kwa maafisa wa zamani wa jeshi la wanamaji kujiwasilisha katika mahakama kuu ya Mombasa,...

ODPP yasema ushahidi unatosha wa kushtaki washukiwa wa mauaji ya Shakahola

0
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini ODPP imetangaza kwamba kuna ushahidi wa kutosha wa kushtaki washukiwa 95 wa mauaji ya Shakahola. Kupitia taarifa...

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma akariri kupigania haki za...

0
Mkurugenzi Mkuu wa mashtaka ya umma Renson Mulele, amekariri kujitolea kwa afisi yale kupigania haki za wanahabari katika utendakazi wao. Akiwahutubia wanahabari ,Mulele amesema afisi...

Mhubiri Ezekiel bado hajaponyoka!

0
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini DPP imefafanua kwamba Mhubiri Ezekiel Odero wa kanisa la New Life Prayer center bado hajaondolewa mashtkata. Kwenye...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS