Tag: ODM
Zinga: Ni sawa kuwatimua wabunge wanaokiuka sheria ya vyama?
Wakili na mchanganuzi wa masuala ya siasa Stanley Kinyanjui anasema japo wasaliti wa vyama wanastahiki kupewa nafasi ya kusikilizwa haimaanishi wanapoenda kinyume na chama...
Raila kuzuru Nyanza baina ya Ijumaa na Jumapili
Kiongozi wa mungano wa Azimio ,Raila Odinga anazuru eneo la Nyanza kati ya Ijumaa na Jumapili ,siku moja tu baada ya kuwatimu wabunge waasi...
Gavana Simba Arati ndiye Naibu Mwenyekiti mpya wa Kitaifa wa ODM
Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati ndiye Naibu Mwenyekiti mpya wa Kitaifa wa chama cha ODM.
Arati anajaza pengo lililoachwa na aliyekuwa Mwakilishi wa...
ODM yatangua uteuzi wa Wawakilishi Wadi 4 bunge la kaunti ya...
Chama cha ODM kimeendeleza hujuma dhidi ya wanachama wake wanaochukuliwa kuwa wanakiuka itikadi za chama na wameonyesha chembe za kukosa nidhamu.
Leo Alhamisi, imebainika kuwa...
Tutashinda majaribu, wasema wabunge ‘waasi’ wa ODM
Baadhi ya wabunge waliotumuliwa na chama cha ODM jana Jumatano wameelezea imani yao kuwa watayapiku majaribu ya sasa na kuendelea kuwahudumia raia waliowachagua.
Isitoshe, Seneta...
Wabunge watano ‘waasi’ watimuliwa na ODM
Kamati kuu ya chama cha ODM imeafikia uamuzi wa kuwatimua wabunge watano 'waasi; waliokiuka itikadi za chama.
ODM imesema imewatimua wabunge hao kwa utovu wa...
Azimio kufanya maandamano siku tatu mtawalia wiki ijayo, adokeza Seneta Sifuna
Seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amedokeza kuwa maandamano ya upinzani yatafanyika kwa siku tatu mtawalia wiki ijayo.
Maandamano hayo yatafanyika kuanzia Jumatatu...
Upinzani kuendeleza maandamano Julai 12
Muungano wa upinzani Azimio one Kenya, umetangaza kurejele maandamano ya kupinga gharama ya maisha tarehe 12 mwezi baada ya kufanya maandamano ya siku ya...
Mswada wa Fedha: ODM kuwaadhibu wabunge waliokaidi msimamo wa chama
Chama cha ODM kimetishia kuwachukulia hatua za kinidhamu wabunge wake 28 kwa kukaidi msimamo wa chama hicho kuhusu mswada wa kifedha wa mwaka huu,...