Tag: ODM
Aliyekuwa msaidizi wa Raila Silas Jakakimba ajiunga na UDA
Aliyekuwa msaidizi wa kinara wa Azimio Raila Odinga Silas Jakakimba amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA).
Jakakimba alichukua uamuzi huo jana Jumanne, miezi...
Chama cha ODM chataka kutekelezwa kwa ripoti ya NADCO
Viongozi wa chama cha Orange Democratic Movement ODM, kutoka kaunti ya Siaya wametoa wito wa kutekelezwa kikamlifu kwa ripoti ya kamati ya maridhiano ya...
Gavana Mung’aro ampigia debe Hassan Joho kuwa kinara wa ODM
Gavana wa Kilifi Gideon Mung’aro, ametoa wito kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga, kumwachia Ali Hassan Joho kumrithi kama kinara wa chama cha Orange...
Oparanya: Hakuna migawanyiko katika chama cha ODM
Naibu kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Wycliffe Oparanya, amepuuzilia mbali madai kwamba kuna migawanyiko katika chama hicho.
Akizungumza na wanahabari baada ya...
Mahakama Kuu kusikiza kesi ya ODM inayopinga ubinafsishaji wa mashirika 11...
Mahakama Kuu nchini Kenya siku ya Alhamisi, Machi 7 inatarajiwa kuanza kusikiza kesi iliyowasilishwa na chama cha Orange Democratic Movement - ODM kupinga ubinafsishaji...
Mwanasiasa wa ODM Narok Town afariki
Chama cha ODM Kinaomboleza kifo cha mwakilishi wadi wa Narok Town Lucas Kudake aliye pia mwanachama wa chama hicho ambaye amefariki baada ya kuugua...
Raila akosoa serikali ya Kenya Kwanza
Kiongozi wa muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameikosoa serikali ya Kenya Kwanza kwa kile anachokitaja kuwa hatua ya kuteka...
Raila: Muungano wa Azimio hausambaratiki
Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, amepuuzilia mbali madai kwamba muungano huo unakumbwa na migawanyiko.
Kulingana na Odinga, habari hizo...
Raila aitaka serikali kukoma kulaumu idara ya mahakama
Kwa mara nyingine, kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya na chama cha ODM Raila Odinga ameitaka serikali kukoma kulaumu idara ya...
ODM yataka Kamanda wa polisi kaunti ya Kisii ahamishwe
Chama cha ODM sasa kinataka kuhamishwa mara moja kwa kamanda wa polisi wa kaunti ya Kisii, Charles Kesses, kufuatia kile chama hicho kimedai kuwa...