Home Tags ODM

Tag: ODM

Wabunge wa ODM wajitenga na uteuzi wa mawaziri kutoka chama hicho

0
Wabunge waliochaguliwa kupitia chama cha ODM wamesema kwamba hawahusiki kwa vyovyote na uteuzi wa viongozi wa chama hicho kuhudumu kama mawaziri katika serikali ya...

Wanachama wa ODM wateuliwa kuwa Mawaziri

0
Wanachama kadhaa wa ODM, wengine ambao wanahudumu kwa sasa kama wabunge, wameteuliwa na Rais William Ruto kujiunga na Baraza Jipya la Mawaziri.  Wao ni pamoja...

Hatuna nia ya kujiunga na serikali ya Kenya Kwanza, yasema ODM

0
Chama cha ODM kimekanusha madai kuwa kinafanya mazungumzo na utawala wa Kenya Kwanza kwa nia ya kuunda serikali ya muungano.  Chama hicho badala yake kinasema...

Vijana wa Wiper wataka Odinga amwombe msamaha Kalonzo

Baadhi ya vijana wanachama wa chama cha Wiper katika kaunti za Makueni, Machakos na Kitui sasa wanamtaka kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga...

ODM yaunga mkono mazungumzo ya kitaifa

0
Chama cha ODM kimeunga mkono kufanyika kwa mazungumzo yanayokusudia kuangazia masuala mbalimbali yanayolikumba taifa.  Uamuzi huo umefikiwa leo Jumatano wakati wa mkutano wa wabunge wa...

Wabunge 6 wa ODM kuchukuliwa hatua kwa kuunga mkono mswada wa...

0
Chama cha upinzani nchini Kenya, Orange Democratic Movement - ODM sasa kinasema kwamba kitaanzisha taratibu za kuwaondoa kazini wabunge sita wa chama hicho. Adhabu hiyo...

Raila aunga mkono ugavi wa pesa kwa kuzingatia idadi ya watu

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga ameunga mkono pendekezo la kutaka ugavi wa pesa kutoka serikali kuu kwa kaunti kwa kuzingatia...

Vijana wa ODM kaunti ya Nairobi wawafokea MCAs wake ...

0
Vijana wa chama cha ODM kaunti ya Nairobi wamewafokea waakilishi wadi wa chama hicho kwa usaliti na kufanya kazi na serikali ya Gavana Johnson...

Chaguzi za chama cha ODM kung’oa nanga Aprili 27

0
Chama cha Orange Democratic Movement (ODM), kitaandaa chaguzi zake kuanzia  Aprili 27, 2024. Katika mkutano na wanahabari leo Jumatano, chama hicho kilisema usajili wa wanachama...

Raila aingilia kati kupunguza joto la kisiasa ODM

0
Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amewataka viongozi wanaopigania uongozi wa chama hicho kutuliza uhasama unaoweza kukisambaratisha.  Mirengo kadhaa ya kisiasa imeibuka chamani humo...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS