Tag: ODM
ODM yamtetea Raila wakati mivutano Azimio ikirindima
Chama cha ODM kimesitisha kimya chake na kumtetea kiongozi wake Raila Odinga dhidi ya madai kwamba amekiongoza chama hicho kujiunga na serikali.
Viongozi wanne wa...
Ruto: Kenya Kwanza haijaunda serikali ya muungano na ODM
Rais William Ruto amebainisha kuwa muungano unaotawala wa Kenya Kwanza haujaunda serikali ya muungano na chama cha ODM.
Badala yake, Ruto amesema pande hizo mbili...
Chama cha ODM chatangaza viongozi wapya
Siku chache baada ya manaibu viongozi wa chama cha Orange Democratic Movement ODM kuchaguliwa katika Baraza la Mawaziri, manaibu wapya wa viongozi wa chama...
ODM yashinikiza kuachiliwa kwa waandamanaji waliokamatwa
Chama cha Orange Democratic Movement ODM, kimetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa waandamanaji waliokamatwa na polisi wakati wa maandamano siku ya Alhamisi.
Mkurugenzi wa...
Junet Mohamed, Millie Odhiambo wapendekezwa kuongoza upinzani bungeni
Chama cha ODM kimependekeza Junet Mohamed kuwa kiongozi wa wachache katika bunge la taifa, wadhifa uliosalia wazi baada ya Opiyo Wandayi kuteuliwa kuwa waziri...
Askofu Anyolo atilia shaka kutokuwepo kwa upinzani nchini
Askofu mkuu wa dayosisi ya Nairobi ya kanisa katoliki Philip Anyolo ametilia shaka kutokuwepo kwa upande wa upinzani nchini ikikumbukwa kwamba Rais Ruto aliteua...
Je, Oparanya afaa kwa Wizara ya Vyama vya Ushirika?
Kamati maalum ya Bunge la Kitaifa itaanza kuwasaili Mawaziri wateule kati ya Agosti 1 na 4 katika majengo ya bunge.
Kamati hiyo itaongozwa na Spika...
Wabunge wa ODM wajitenga na uteuzi wa mawaziri kutoka chama hicho
Wabunge waliochaguliwa kupitia chama cha ODM wamesema kwamba hawahusiki kwa vyovyote na uteuzi wa viongozi wa chama hicho kuhudumu kama mawaziri katika serikali ya...
Wanachama wa ODM wateuliwa kuwa Mawaziri
Wanachama kadhaa wa ODM, wengine ambao wanahudumu kwa sasa kama wabunge, wameteuliwa na Rais William Ruto kujiunga na Baraza Jipya la Mawaziri.
Wao ni pamoja...
Hatuna nia ya kujiunga na serikali ya Kenya Kwanza, yasema ODM
Chama cha ODM kimekanusha madai kuwa kinafanya mazungumzo na utawala wa Kenya Kwanza kwa nia ya kuunda serikali ya muungano.
Chama hicho badala yake kinasema...