Home Tags NYS

Tag: NYS

Rais Ruto aagiza NYS kutoa ardhi kwa waathiriwa wa mafuriko

0
Rais William Ruto ameagiza huduma ya kitaifa(NYS) kwa vijana kutoa ardhi ya makazi kwa waathiriwa wa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa kote nchini. Akizungumza...

Kuria asema usajili wa NYS utakuwa huru na wazi

0
Waziri wa utumishi wa umma na utendakazi Moses Kuria, amekariri kuwa zoezi la uteuzi wa watakaojiunga na huduma ya taifa kwa vijana NYS...

NYS kusajili vijana 30,000 mwaka huu, asema Waziri Kuria

0
Waziri wa Utumishi wa Umma Moses Kuria amefichua kuwa serikali inanuia kusajili vijana 30,000 kujiunga na huduma ya taifa kwa vijana, NYS mwaka huu. Kuria...

Rais Ruto: NYS itatumika kuimarisha uchumi wa taifa

0
Rais William Ruto amesema huduma ya taifa ya vijana NYS, itatekeleza wajibu muhimu katika ajenda ya serikali ya kuimarisha uchumi wa taifa hili. Akizungumza wakati...

Rais Ruto kuhudhuria mahafala ya 87 ya makurutu 10,000 wa NYS

0
Rais William Ruto atahudhuria sherehe za 87 za kufuzu kwa makurutu wa shirika la huduma ya vijana kwa taifa, NYS zitakazoandaliwa katika chuo cha...

Asilimia 80 ya maafisa wa polisi watakaoajiriwa watatoka NYS

0
Asilimia 80 ya maafisa wa polisi watakaoajiriwa katika awamu ijayo, watatoka katika huduma ya taifa ya vijana NYS. Hayo ni Kwa mujibu wa mwenyekiti...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS