Tag: Nyeri
Gachagua awaonya viongozi dhidi ya siasa za migawanyiko
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amewaonya viongozi dhidi ya kueneza siasa za migawanyiko, badala yake aliwahimiza kuwahudumia wananchi.
Akiwahutubia wakazi Nyeri mjini, baada ya kufungua rasmi...
Wataalam wapelekwa Hilliside Academy kuchunguza chanzo cha moto
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kikosi cha maafisa wa upelelezi kimebuniwa na kupelekwa katika shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, kuchunguza chanzo cha...
Kaunti ya Nyeri yasimamisha mishahara ya madaktari wanaogoma
Gavana wa kaunti ya Nyeri Mutahi Kahiga leo Jumatatu ameagiza Bodi ya Utumishi wa Umma na Wizara ya Fedha ya kaunti hiyo kusimamisha mishahara...
Umeme kupotea katika kaunti nne Jumapili yasema KPLC
Kampuni ya kusambaza nguvu za umeme nchini KPLC imetangaza kutoweka kwa umeme siku ya Jumapili April 7 katika kaunti nne.
Kaunti zitakazoathirika ni panmpja na...
Wanaofuzu kutoka TVET kuajiriwa katika miradi ya serikali
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amesema kuwa wanafunzi wanaofuzu kutoka kwa vyuo vya mafunzo ya kiufundi, TVET, watakuwa katika mstari wa mbele kutekeleza na kufanikisha...
Kanisa latakiwa kuisaidia serikali kutekeleza mipango ya maendeleo
Kanisa limetakiwa kushirikiana na serikali kuwaelimisha Wakenya kuhusu fursa mbalimbali zinazotokana na mipango ya maendeleo inayotekelezwa na utawala wa Kenya Kwanza.
Mkewe Rais Rachel Ruto...
Rais Ruto: Unyunyiziaji mashamba maji utasitisha uagizaji chakula kutoka nje
Serikali inaongeza uwekezaji katika unyunyiziaji mashamba maji, ili kuimarisha uwezo wa taifa hili wa uzalishaji chakula, hayo ni kwa mujibu wa Rais William Ruto.
Rais...
Gachagua alalamikia ajali barabarani, ataka asasi husika kudumisha usalama
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa watumiaji wa barabara, asasi za usalama na asasi husika kuhakikisha usalama unadumishwa barabarani ili kuepukana na ajali...
Maonyesho ya kilimo ya kahawa Nyeri kuandaliwa Novemba
Wakulima wa kahawa katika kaunti ya Nyeri watapata fursa ya kutangamana na wanunuzi wa kahawa yao moja kwa moja wakati wa maonyesho ya kilimo...
UDA kuandaa uchaguzi wake Disemba mwaka huu, asema Ruto
Chama cha United Democratic Alliance, UDA kitafanya uchaguzi wake mwezi Disemba mwaka huu kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Haya yametangazwa Jumamosi na Rais...