Home Tags Nyanza

Tag: Nyanza

Eneo la Magharibi laathiriwa zaidi na mafuriko

0
Eneo la magharibi mwa nchi ndilo limeathirika zaidi na mvua ya masika ya mwezi Machi hadi Mei, hususan maeneo yaliyo karibu na Ziwa Viktoria...

Kambi ya walinzi wa baharini kuanzishwa katika kisiwa cha Mfangano

0
Serikali ina mipango ya kuanzisha kambi ya walinzi wa baharini katika kisiwa cha Mfangano kaunti ya Homa Bay, ili kukabiliana na maswala ya usalama...

Chama cha kuwanufaisha wanawake kiuchumi chazinduliwa Nyanza

0
Wanawake walio katika  taaluma eneo la Nyaza wamehimizwa kuwa kielelezo na kuwawezesha wanawake kuwa na fursa sawa katika maendelo ya uchumi wa taifa hili. Waziri...

Zinga: Ziara ya Rais Ruto Nyanza inatoa ishara gani kwa Raila...

0
Kulingana na mchambuzi wa masuala ya siasa Martin Andati, ziara ya Rais Ruto katika eneo la Nyanza japo ni ya kikazi, inadhamiria kuwinda kura...

Matukio ya Taifa: Rais Ruto azindua miradi ya mabilioni, Nyanza

0
Ziara ya Rais William Ruto katika mkoa wa Nyanza imepongezwa na wengi. Rais William Ruto alizindua miradi mbali mbali katika kaunti za mkoa huo...

Rais Ruto kuanza ziara ya siku nne eneo la Nyanza

0
Rais William Ruto anatarajiwa kuanza ziara ya siku nne ya kimaendeleo katika eneo la Nyanza, kuanzia Ijumaa wiki hii. Huku akiwahimiza wakazi wa eneo hilo...

Raila kuzuru Nyanza baina ya Ijumaa na Jumapili

0
Kiongozi wa mungano wa  Azimio ,Raila Odinga anazuru eneo la Nyanza kati ya Ijumaa na Jumapili ,siku moja tu baada ya kuwatimu wabunge waasi...

Tamasha ya muziki yaahirishwa Nyanza kwa sababu ya maandamano

0
Tamasha ya muziki ya siku nne iliyoleta pamoja shule zote katika eneo la Nyanza na kuandaliwa katika kaunti ya Migori imeahirishwa. Hii ni kufuatia maandamo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS