Home Tags Nyandarua County

Tag: Nyandarua County

Jamaa akamatwa baada ya kumuua mtoto na kuwajeruhi wengine Nyandarua

Wimbi la simanzi limetanda katika kijiji cha Matura eneo la Magumu huko Kinangop, kaunti ya Nyandarua baada ya mtu kudaiwa kumuua kwa kumdunga kisu...

Walimu wa JSS waapa kutorejea darasani hadi serikali itekeleze mahitaji yao

Walimu wa shule za sekondari msingi yaani Junior secondary schools JSS wameapa kutorejea darasani hadi pale ambapo serikali itakaposhughulikia matakwa yao. Wakizungumza mjini Olkalou katika...

Walimu wa JSS wafanya maandamano Ol-Kalou

Walimu wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Nyandarua walifanya maandamano mjini Ol-Kalou kulalamikia walichokitaja kuwa kuhadaiwa na serikali katika masuala ya ajira...

Bodi ya mamlaka ya biashara na uwekezaji Nyandarua yazinduliwa

Bodi ya kusimamia mamlaka ya biashara, maendeleo na uwekezaji katika kaunti ya Nyandarua imezinduliwa. Akizungumza wakati wa uzinduzi, gavana wa Nyandarua Daktari Moses Kiarie Badilisha...

Polisi wanasa bangi Nyandarua

Polisi mjini Ol kalou katika kaunti ya Nyandarua wamenasa bhangi ya thamani ya takribani shilingi milioni 4,ikiwa kwenye gari la kibinafsi. Akithibitisha kisa hicho,Kamanda wa...

Waathiriwa wa mvua kubwa wapokea msaada Nyandarua

Walioathirika na mvua kubwa iliyonyesha katika kaunti ya Nyandarua wamepokea msaada kutoka kwa viongozi wa kaunti hiyo na wahisani wengine. Mvua hiyo kubwa iliathiri sana...

Rais Ruto atetea mpango wa kuboresha barabara nchini

0
Rais William Ruto amesema kwamba uamuzi wa kuwekeza katika uboreshaji wa barabara humu nchini utainua hadhi ya nchi hii na kuchochea biashara. Akizungumza huko Nakuru...

Rais Ruto afanya ziara ya kikazi Laikipia na Nyandarua

0
Rais William Ruto leo amefanya ziara ya kikazi katika kaunti za Laikipia na Nyandarua. Alianzia katika kaunti ndogo ya Laikipia Mashariki ambapo aliweka jiwe...

Wanyakuzi wa ardhi ya umma Nyandarua waonywa

Gavana wa kaunti ya Nyandarua Daktari Kiarie Badilisha ametoa onyo kali dhidi ya watu wambao wamenyakua ardhi ya umma baada ya eneo moja chepechepe...

Wakazi wa Rurii kaunti ya Nyandarua walalamikia ongezeko la matumizi ya...

Wakazi wa wadi ya Rurii katika kaunti ya Nyandarua wamelalamikia kile wanachokitaja kuwa ongezeko la matumizi ya pombe na mihadarati katika eneo hilo huku...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS